JWTZ nako kunahitajika reforms

JWTZ nako kunahitajika reforms

Mkuu 'Pulex' sijakusoma zaidi ya kichwa cha mada yako.
Binafsi sijui sehemu hata moja ndani ya nchi hii isiyo hitaji "REFORM". Naona hata kwa sisi wenyewe kama 'individuals', tunahitaji hiyo 'reform' kwa nguvu sana

WaTanzania hata humu JF tumebaki kuwa washangiliaji wa "mikeka" ya mama!
Kila kukitokea uteuzi inakuwa kama kuna mashindano ya kusifu na kupendekeza nani ateuliwe kwenye nafasi ipi, ili na yeye akafaidi matunda ya uovu!

WaTanzania wameuliwa na wengi kuumizwa; wik chache zijazo ukiingia humu humu jukwaani hutatambua kuwa watu walikuwa na majonzi ya kuwapoteza waTanzania wenzao!
Tutaanza tena kila mahala kuona mada za akina Kafulila kafanya hili; au kasema lile!

Hatuwezi kwenda popote kama nchi na hali ya namna hii imewajaa wananchi wenyewe.
Ndo nyie juzi mliimba kulisifu JWTZ kuwa linalinda raia haliui watu!! Ndio nyie Leo mnawafichia uhalifu hao JWTZ kwa kueneza propaganda za jeshi la Uganda sijui wahuni!

Propaganda zenu za kitoto kwa kiasi kikubwa sana zimechangia haya mauaji binafsi siyafurahii 🙌🙌🙌🙌🙌
 
Ukinipa mfano 'direct' wa mimi kufanya hayo unayosema, hapo nitakupa jibu sahihi. Hapa unarundika tu watu kwenye kundi sijui kwa faida gani?
Huwa sipendi 'generalization'.
 
Jeshi liliambiwa lilijiandae na uchaguzi leo linaambiwa lisijihusishe na siasa ndege za jeshi zilitumika hadi kwenye kampeni ya uchaguzi batili.

Anaongea tu ili mradi ameongea na sio anatumia akili ipasavyo kweli kuna msala mkubwa sana Tanzania hakuna rais.
 
Mfano mzuri ni Kama walivyomtumia mch
Msigwa.
Sijui wamemtupa kwenye kasha gani la taka, maana hasikiki tena!
Track record ya ccm huwa wanakutumia kufanikisha jambo lao baada ya hapo hawataki mazoea

Wana haribu reputation yako halaf hawakusaidii

Jwtz ilikua moja ya taasis ambazo hazikuwa compromised , until oct 29

How wata restore imani yao kwenye jamii that will be so hard
 
Jeshi liliambiwa lilijiandae na uchaguzi leo linaambiwa lisijihusishe na siasa ndege za jeshi zilitumika hadi kwenye kampeni ya uchaguzi batili.

Anaongea tu ili mradi ameongea na sio anatumia akili ipasavyo kweli kuna msala mkubwa sana Tanzania hakuna rais.
Akishaongea huwa hakumbuki wala hafatilii alichoongea mwanzo.Yeye akiletewa anaruka na hutuba iliyopo tu..huwa hapitii na kwa sababu hapitii ndo huwa anashtuka palepale anaposoma kwamba kuna mambo hayapo ndo anaamua kuyaongezea mwnyewe tu. Kama 🤭"WHO ARE YOU??' Sidhani kama iliandikwa ile😅😅😅😇
 
Vyote viwili hatuna.

Rais na jeshi.
 
Akishaongea huwa hakumbuki wala hafatilii alichoongea mwanzo.Yeye akiletewa anaruka na hutuba iliyopo tu..huwa hapitii na kwa sababu hapitii ndo huwa anashtuka palepale anaposoma kwamba kuna mambo hayapo ndo anaamua kuyaongezea mwnyewe tu. Kama 🤭"WHO ARE YOU??' Sidhani kama iliandikwa ile😅😅😅😇
Kumbuka ni form four failure
 
Back
Top Bottom