Recent content by Galula Jr

  1. G

    Serikali Kutoa kauli Kuhusu Mgomo wa Madaktari kesho

    Pinda ni shokabuzoba ya serikali ya JK Na Joster Mwangulumbi - Imechapwa 22 December 2010 KATIKA gari kuna chombo kiitwacho shock absorber (shokabzoba); madereva mitaani wanaziita ‘shokap’. Kazi kubwa ni kuongeza mneso wa gari na kupunguza mtikisiko mkubwa likiingia kwenye mashimo mashimo...
  2. G

    Naomba kuuliza matokeo ya Arumeru Mashariki 2010

    Ccm 34661 62.23% chadema 19123 34.33% tlp cuf
  3. G

    Dr. Wilbrod Slaa ndani ya Manyara (Katesh)

    Kama huna la kuchangia bora ukaacha kuliko kupotezea watu muda kusoma upupu wako. Tujaribu kuwa tunajikita kwenye maada, siyo kuandika kila kinachokujia kichwani hata kama hakihusiki.
  4. G

    Mke wa Dr Slaa avamiwa na majambazi

    na ww ni great thinker??????
  5. G

    Tutawatimua madiwani - Slaa

    Tuanze na Shibuda kabla ya hawa dagaa
  6. G

    Nchi kwanza chama baadae na kinachoendelea Arusha

    sorry sikujua kama ni wewe, kwa nini wasirudie tu uchaguzi kaka nyinyi si mko wengi. samahani nilikuwa napita
  7. G

    Bunge laelekea kumuelemea Spika

    Sidhani kama linaelekea ila limemshinda
  8. G

    Mlimani tv- elimu kwanza!!

    Jamani Mkandara mkuu wetu kada wa CCM aliyetoa ka slogan ka ANGUKA MPYA, sasa unafikiri watafanyaje ndugu zetu. Wale ni wanafunzi wako mafunzoni ko bado wanaamliwa what they should do. Ila they are trying their level best, Ki TV chenyewe ni cha mazoezi tu so guys msijali sana
  9. G

    Katibu mkuu CHADEMA (Dr. Slaa) atoa tamko

    kaa chini fikiria vizuri
  10. G

    Katibu mkuu CHADEMA (Dr. Slaa) atoa tamko

    wewe mwenyewe ckuelewi kabisa,unajua nafasi ya Mbowe bungeni???? Bunge linaweza fanyika bila waziri mkuu???? changanya na zako sasa utaelewa kwa nini wasiende
  11. G

    Katibu mkuu CHADEMA (Dr. Slaa) atoa tamko

    Unayoandika na sura yako haviendani kabisa, jaribu kutumia akili kufikiri hata siku moja moja dada yangu
  12. G

    Katibu mkuu CHADEMA (Dr. Slaa) atoa tamko

    Iko pouwa sana tu mkuu hata usiogope, Mbowe ndo kiongozi wetu bungeni means PM wa kambi ya upinzani, utahudhuliaje wakati kiongozi wako hayupo? Ulishawahi kuona bunge linafanyika bila waziri mkuu kuwepo bungeni hata siku moja??
  13. G

    CCM yafunika Mpanda

    Inteligensia inasemaje kuhusu hayo maandamano??????????? Kazi kweli kweli
Back
Top Bottom