Recent content by Galena

  1. G

    Video: Azimia jukwaani baada ya kutumbuliwa na Makonda

    Tahadhari usihukumu kwa kuwa unanafasi ya kufanya hivyo. Hata muuaji hupewa haki ya kusikilizwa na hata amapohukumiwa kifo bado hupewa faraja ktk nyakati zake za mwisho. Sipingi mtu kuchukuliwa hatua lkn hatua itakayochukuliwa izingatie taratibu zilizowekwa na kama tunaona ni mbaya basi tubadili...
  2. G

    Video: Azimia jukwaani baada ya kutumbuliwa na Makonda

    Nadhani hapa tatizo ni uelewa ambao kwa bahati mbaya sana si rahisi kwa asonao kukubali kama hanao. Kigumu zaidi tafakuri zetu zinafubazwa na mahaba ya kutukanika pamwe na chuki dhidi ya utumishi na watumishi wa Umma hii hopofua macho ya dhamira zetu ambapo hata penye nyeusi huwaradhi kusema...
  3. G

    Video: Azimia jukwaani baada ya kutumbuliwa na Makonda

    Nimesikitika na kuhuzunika sana nilijaribu kuwa ktk viatu vya huyu mkuu wa idara wallah imenisononesha. Inawezekana kuna majibu mazuri angeweza kuwa nayo na pengine ni mtendaji mzuri aliekosa kueleza anayoyataka muheshimiwa. Najua kuna uwezekano mkubwa wa huyu mkuu wa idara kukosea data lkn...
  4. G

    Kosa kubwa walilolifanya Tanganyika Law Society (TLS)

    Nadhani hukuwa na sababu ya kuleta mada hii wakati huu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. G

    Shairi; Usinene ukamara

    1. Zituze zako fikara, sijelaumu ulimi usinene ukamara, khifadhi zako kalami sije kuoneka jura, Jahili uso harami. Weka akiba maneno, usinene ukamara 2. Wengi mefikwa majanga, kwa kutohifadhi ndimi Wakatukana wakunga, wakakufuru kwa semi Nawe...
  6. G

    Mto Zigi na janga la uchimbaji dhahabu

    Mto Zigi ni moja ya mito mashuhuri katika bonde la Pangani. Umuhimu wa mto huu pamoja na huduma ya kimazingira mto huu ndio chanzo pekee cha maji kwa Jiji la Tanga na vitongoji vyake. Kwa sasa mto huu umeathirika kwa kiasi kikubwa sana. Kutokana na shughuli za kibinaadamu mto huu upo katika hali...
  7. G

    UVCCM Zanzibar: Abeid Karume afukuzwe CCM

    Nimesikiliza mada zilizowasilishwa kwa vijana wa elimu ya juu Zanzibar. Kwakweli si zakutia m atumaini kwa wapenda amani. Kwa maoni yangu ni wakati wa kukemea kauli zote zinazilenga kuondoa umoja lkn muhimu wazanzibari wakumbuke maisha ya dunia ni starehe fupi yenye kupumbaza hivyo hatuna sababu...
Back
Top Bottom