Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,215
- 3,683
Waswahili wana msemo wao usemao mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni tuu....
mwaka jana 2015 wakati profesa lipumba wakati anajiuzulu kuna maneno aliyazungumza na kusema yeye kama yeye hawezi kumuunga mkono mgombea uraisi kupitia ukawa kwa sababu yeye ni mmoja kati ya watu walioipinga katiba ya wananchi ambayo ilikuwa na tume huru na katiba mpya ya wariobaa. ..
sasa leo hii kuna watu wameanza kulalamika jf kuhusu tume na wengine wameapa kutopiga kura tena bila katiba mpya mimi nadhani wapinzani wangekuwa na akili wangemsikiliza profesa lipumba.
ushauli wangu kwa wapinzani na ukawa waende kumpigia magoti awape ushauli sio siri kama watu mngemsikiliza lipumba maana lipumba ndio mpinzani wa kweli aliyebakiaa kwa sasa.