Recent content by Gafla

  1. G

    Msaada: Nimelikanyaga, uume unatoa usaha

    MPE taarifa na huyo Mtoto mzuri kuwa aende hosipitali
  2. G

    Haya ndio matokeo yangu kidato cha VI&DIPLOMA.

    Chukua cheti form four badili uelekeo
  3. G

    je? huyu mtu kwa matokeo haya anaweza kusomea petroleum chemistry kwangaz gani

    Soma kozi itakayokuruhusu ujiajiri mwenyewe kwanza siyo vinginevyo
  4. G

    Msaada: Nina certificate ya account, naweza kusoma diploma ya unesi?

    Kama ndo ivo basi ngoja nikasome masters ya pharmacy
  5. G

    Msaada: Nina certificate ya account, naweza kusoma diploma ya unesi?

    Account na afya ni vitu viwili tofauti kwanza elewa hilo
  6. G

    Msaada: Nina certificate ya account, naweza kusoma diploma ya unesi?

    Usiwe mvivvu kusoma website _www.nacte.go.tz HAPA utapata guide book ambayo utafuatilia kitu unachotaka
  7. G

    Msaada: Nina certificate ya account, naweza kusoma diploma ya unesi?

    Ukiwa na C4 (biology,chemistry, physics &Mathematics) unenda dip kama sivyo anza certificate
  8. G

    Kwa makato haya ya HESLB, naweza kuwashtaki?

    Kumbe we $muzazi $ ulikuwepo kabisa, wengine hawakuwanao wazazi kama ulivyokuwa mzazi ww. Hivyo ushukuru kupata Fursa ya kumsomesha mwanao. Kuliko huyu yatima aliyekuwa hana pa kushika toka akiwa primary
  9. G

    Sheria ipi inatumiwa na mashirika ya bima kumkata mtu ambaye hajajisajili?

    Kuna mtu yeyote anayekatwa na hili shilika NIC(NATIONAL INSURANCE COOPERATION)?. Ni sheria IPI inatumika na mashilika HAYA ya bima kumkata mteja ambaye hajasajiliwa/hajajisajili kwa hilo shilika la bima? Nawasilisha
  10. G

    Msaada wa kisheria, Je akigundua namba yangu itampa nguvu kisheria? Na atanishtaki kwa kosa gani?

    Pesa ni kitu kingine ,acha kusema anakuogopa. hata maneno ya mungu yanasema kutembea na Malaya utapoteza pesa lakini MKE Wa mtu utapoteza uhai. Wengine hawajuwagi swala la sheria maana anaona haita msaidia.
Back
Top Bottom