The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,769
- 1,657
Wanajukwaa kwa wale wanaoifahamu vizuri Iringa, napenda kufahamu zilizopo ofisi za halmashauri ya wilaya ya Iringa
Kwanza haupafahamu Iringa...Wanajukwaa kwa wale wanaoifahamu vizuri Iringa, napenda kufahamu zilizopo ofisi za halmashauri ya wilaya ya Iringa
Asante mkuu nimekaribiaWew panda basi shuka iringa mjin afu ulza sehem inaitwa posta. Pana round about, ukifka hapo uliza hzo ofic. Karibu iringa
Mkuu nipo dar ila Iringa mjini nilishafka ingawa sikukaa sanaKwanza haupafahamu Iringa...
Pili unaomba kufahamu zilipo ofisi za halmashauri ya wilaya ya Iringa...
Sasa........
Utawezaje kuzifaham ofisi zilipo, ilhali Iringa haupafaham....
Acha uongo akifika stand ni jirani na ofisiFika stand chukua boda 1000 wanakufikisha
Itakuwa Iringa girlsUmepangiwa shule gani?