Msaada wa kisheria, Je akigundua namba yangu itampa nguvu kisheria? Na atanishtaki kwa kosa gani?

Alikupiga jicho eeeh sasa atakula jicho kunako elekea na hivi unatumia tecno y3.
Ngoja nimpe taarifa akikuona akuangalie vizuri ndio wewe kumbe!

Ila achana na mke wa mtu mkuu hapa najua kuna vtu umeficha ficha ila wewe ndio ulianza kumtongoza huyo mwanamke ili awe anakufichia ugali kwenye hopot na hivi huna kazi mtaani maisha magumu..

Nakuombea upate kazi nzuri yenye kipato kikubwa uoe mke mzuri mwenye shape kama ya masogange au [HASHTAG]#miss[/HASHTAG] chaga ukishaoa tu house boy wangu lazima akuchapie mke wako mana wewe utakua bize sana na kazi.


NB: MUOSHWA NAYE HUOSHWA
 
Waungwana mpooo,,,, yamenipata kidogo japo c makubwa sana.
 
Ndo umekimbilia huku kuomba ushauri.

Kabla ya kutembea na mke wangu mbona hukuja kuomba ushauri.

Kwa taarifa yako nimeshakufahamu na utaisoma namba tu.

It's just the matter of time.
 
Ndo umekimbilia huku kuomba ushauri.

Kabla ya kutembea na mke wangu mbona hukuja kuomba ushauri.

Kwa taarifa yako nimeshakufahamu na utaisoma namba tu.

It's just the matter of time.
Huyu jamaa hata JF haijui
 
Ipo hivi, jana asubh saa12 iliingia sms kwa namba ngeni, sms inasema hv "cm yangu ilichukuliwa jana usiku, usiitumie ujumbe, na hii niliyoitumia ni ya mama mdogo wake na jamaa usiitumie ujumbe" nami nikakaushaaa, maana ukiwa mwizi lazima ufate kanuni na masharti katika mawasiliano.

Ilipofika saa tatu na nusu za asubh, simu ya yule mwanamke ilitumika kunitumia ujumbe mfupi ukisema
"Kumbe huwa mnasoma mazngra eee...... Ndugu cha mwenzio ni kigumu meza mate ukalale""

Nikavunga siijui namba hyo maana nilitonywa mapema kuwa cm ilichukuliwa, nami nkajikakamua nikamuuliza kwa sms ikisema:-
"Namba ngeni, ujumbe mgeni, nani mwenzangu?"

Jamaa kupitia namba hyohyo ya mwanamke akajibu akisema:-
"Usijitoe ufaham nakujua unanijua"

Nami nikaona nisisalende ili niendelee kupoteza lengo as if amekosea no, nikamjibu ifuatavyo:-
"Kama hutaki kusema wewe ni nani kausha, maana namba ngeni, ujumbe mgeni na hutaki kusema ww n nan, huenda ukawa umekosea namba"

Alhamis, nilichart na huyo mwanamke kuna sms nilimtumia nikimwambia "Yaan ww na uelewa wote huo unayumbishwa na kauli za hao wambea?"

Jamaa akaquote sms yangu na kuijazilishia maeneno kuwa:-
"Wala si wambea, siku zote mbaya hakai akachunguza ubaya wake, wewe unavyo chukua wake za watu unadhan unatenda vyema?"

Nami nikamuuliza, "mke ama wake za watu wapi wanaochukuliwa na mimi?''
Akanyamaza nami nkapga kimya,

sasa mke kanyang'anywa cm, hatuwasiliani ama kuonana, sasa jamaa huwa yupo senta moja hv anabiashara yake, sasa najiuliza, kwakuwa ameshanitambua, niende nikamuombe samahan? Ama nipge kimyaa!?

Sasa kingne huwa anabiashara, leo nilipta maeneo fulan nikakuta kamchukua dogo wa nyumban amempa kkaz fulan kama kibarua, dogo huyu nilikuwa nmemuachia kaz nyumban, ikabidi nmfate pale kumuuliza kama kaz ya nyumban amemaliza, nae akasema bado nikamwambia fanya haraka ukaimalizie,,,,,,,, ila nilipofkapo tulikuwa wawili, jamaa aliitikia salam ya mwenzangu lakini yangu hakuitikia, na wakati huo hakutaka kutuface usoni.......... nikaona c tabu, sasa tulipotokapo, jamaa akamuuliza dogo, huyo fulan (akataja jina langu) n nan yako? Dogo nae akajibu n kaka angu......

Sasa MUUNGWANA, UNGEKUWA WEWE UNGEFANYAJE?............
 
Nitumie namba yako kesho nikusaidie kukupeleka mahakamani na ukifika ukiri kosa nijenikuonyeshe kuwa mke wa mtu asio.
 
hujui tu uchungu wa mke wewe

na sijui kwanin bado upo hapo ulipo

sahv ungekua umefika loliondo unakunywa dawa..
 
Kuwa mwelewa kijana,upo kwenye hatari sababu ameshambaini adui yake ambaye ni wewe,omba aende kwa mtendaji maana itakuwa ahuani kwako, lkn akiamua kukutafuta kwa njia nyingine ni hatari zaidi.
 
Ungekuwa nyanda za kazskazini ungegeuka kuwa kambare,
Weweeeeee!! Jamaa ananiogopa, akiniona anaangalia pembeni alafu ana ofisi ya mpesa na leo nilienda pale kutuma hela na akanihudumia..........
 
Kuwa mwelewa kijana,upo kwenye hatari sababu ameshambaini adui yake ambaye ni wewe,omba aende kwa mtendaji maana itakuwa ahuani kwako, lkn akiamua kukutafuta kwa njia nyingine ni hatari zaidi.
Hana huo ubavuuu, kwanza akiniona ama nikkutana nae ananiogopa, hawez hata kuniangalia usoni, nikkutana nae njian anakatza njia.
 
Weweeeeee!! Jamaa ananiogopa, akiniona anaangalia pembeni alafu ana ofisi ya mpesa na leo nilienda pale kutuma hela na akanihudumia..........
Pesa ni kitu kingine ,acha kusema anakuogopa. hata maneno ya mungu yanasema kutembea na Malaya utapoteza pesa lakini MKE Wa mtu utapoteza uhai. Wengine hawajuwagi swala la sheria maana anaona haita msaidia.
 
Pesa ni kitu kingine ,acha kusema anakuogopa. hata maneno ya mungu yanasema kutembea na Malaya utapoteza pesa lakini MKE Wa mtu utapoteza uhai. Wengine hawajuwagi swala la sheria maana anaona haita msaidia.
Hapa ndipo patam, pesa za kunisumbua hana, kupotezwa uhai na mtu kama yule utakuwa ni uzembe wangu.
 
Kuna umuhimu sana kwa watanzania wote kujiunga na JF maana ni rahisi kumkamata mchawi wako humu. Mfano kama huyo mwenye mke akiona hii thread atajua kuwa mkewe kavuruga mchezo.
Ova.
 
Back
Top Bottom