Recent content by Gabby

  1. G

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Col T. N. Mlay (rtd) has passed away

    Wanajamii, napenda kuwajulisha kwa masikitiko kifo cha mzee wetu mstaafu Col T.N.Mlai kilichotokea jana jioni ktk hosp. ya KCMC, Moshi. Marehemu alikuwa maarufu sana kwa wale waliopitia JKT miaka ya 80 na 90 hasa vikosi vya Buhemba na Mafinga. Maziko ni mapema wiki ijayo huko kijijini kwao...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atumbua mapapa wa Madawa ya Kulevya (unga)

    Duh!!!!!
  3. G

    JamiiForums Tanzania Lowassa sasa kwisha habari yake

    Kama umeishiwa cha kuandika, bora ujitoe nje ya JF.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa anasambaza habari za uzushi za kifo cha Mkuu wa Majeshi atiwa mbaroni

    Natamani kuchangia ila naogopa.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Magufuli amepoteza mwelekeo wa kampeni za CCM?

    Tusubiri matokeo ya kura za October 25th ndio tutambiane hayo maneno ya kuwa nani bingwa.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Team Lowassa kutoka CCM kwa kubaki CCM tupo smart

    Futa kauli hizi za kichochezi. Si busara kuhuhukumu bila ushahidi. Mlitaka atoe siri za baraza la mawaziri ambazo alikula kiapo kutotoa? Jamani, angalieni ukweli uko wapi! Maamuzi walifanya wote lakini Edo wa watu anahukumiwa bureeee!
  7. G

    JamiiForums Tanzania Bosi wa EWURA akutwa amefariki hotelini

    Never ever try committing suicide. Mungu akuepushie hilo balaa. Huyu ndugu inaonyesha mazingira yote kauliwa.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Bosi wa EWURA akutwa amefariki hotelini

    Na alipitia JKT. Alikuwa ni mtu shupavu na jasiri. Kwa nini ajiue? Huyu wengi tunaona mazingira yote yanadhihirisha aliuawa.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Bosi wa EWURA akutwa amefariki hotelini

    Huyu Alipitia JKT operation OKOA 1985/6 na alikuwa akijulikana kama kamanda au Corporal (CP). Tuliokuwa naye tunamjua alivyokuwa mtu RAHIM na mkweli. kuna kila sababu ya kuamini kuwa ameuawa na sio kujiua.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Ya Mtwara yapelekea Bunge kuahirishwa hadi kesho; bajeti ya Nishati na Madini yaahirishwa!

    Mchelea mwana kulia.................... Yamekuwa sasa. Tunamuomba Mungu yaishie hukohuko Ntwala maana....!mh
  11. G

    JamiiForums Tanzania Baraza la mawaziri la mseto ni dawa au mbinu za kisiasa?

    This is not proper. Huwezi kusimama peke yako bila kusimamia kwenye miguu ya chama chako. Na ukumbuke kuwa ubunge ulipatikana kupitia chama na sio mgombea binafsi.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Kuelekea baraza jipya "EVERYBODY MARK THESE WORDS"

    Umepatia. Riz = JeiKei
  13. G

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa hospitali ya Temeke nao WAGOMA

    Nisaidieni. Naona kuna nut loose otherwise why dont you keep mumb? Profession nyingine sio za kisiasa wala wito bali ni kukaza buti for 5 yrs and one more as junior dr. Nyie mnapata degree za 3 yrs mnadharau hata hao wateule? Ngoja uugue ndo utajua what you abused. Sorry for
  14. G

    JamiiForums Tanzania Kibonde naona sasa akili imeanza kukuingia!

    Mkuu hilo nalo neno. Lazima tukubali kutokubaliana.:A S embarassed:
  15. G

    JamiiForums Tanzania Kasheshe la Mafuta: Dar kimeanza kuwaka, vituo kadhaa vyaanza kutoa mafuta!

    Wacha kiwake na hili ni trailer, picha kamili bado. Tumechoshwa na ubabaishaji. Wazee hawataki kuchukua maamuzi magumu kwa vile nao ni shareholders au beneficiaries.
Back
Top Bottom