Huyu Kibonde angefaa sana kwenye michezo ya Bahati Nasibu, angekuwa analiwa mara nyingi sana. Huyu 'MC' nani kampa u-Radio Presenter? Kwa mwezi anaongea pointi 1 nayo kwa bahati sana na bila kujitambua. Kwa hiyo kwa mwaka ni chini ya pointi 12 labda asiende likizo. Msishangilie bali mwombeeni tu kwani baadaye au kesho ataongea uharo. This man is hopeless & unpredictable!