Team Lowassa kutoka CCM kwa kubaki CCM tupo smart

SOBIBO

Senior Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
103
Reaction score
31
Tanzania Tanzania...kwaheri kwaheri CCM kama .

CC NA KAMATI YA MAADILI MTAENDELEA KUMDHARAU EDO NA TEAM EDO....THEY ARE SMART WATATOKA CCM KWA KUBAKI CCM.

MMEMALIZA KUPAMBANA NA EDOOO...NA HAMUWATAKI WATU WENYE UWEZO...MNABAGUA KWA KANDA....DINI...JINSIA....NA MBAYA ZAIDIII HAMTAKI WENYE UWEZOOO ....

Watanzania wenzangu na wana CCM mwaka huu CCM wanachezea shilingi chooni kwa dhumuni la kuangalia maslahi ya urafiki. Kuna mpango wa siri wa kumweka Ndugu Brother na wagombea dhaifu kwa matumaini kuwa atawashinda.....ukweli ambao JK na team ya CC wanatakiwa kuujua ni kuwa Team Edo watamchagua mgombea aliye dhaifu atakayewekwa na cc chaguo la Bwana mkubwa...Hivyo kukipa UKAWA ushindi wa mezani ndio adhabu watakayompa na chama cha mapinduzii......

Tegemea mshindi usiyemtegemea..na wasiyemtegemeaaa..
 
Time has come .... Haki haki na kanuni zifuatweeee
 
Kazi ya timu lowasa ni kuitisha ccm. Kwa walivyo na akili finyu wanaamini watz wa leo ndo wale wa jana.
Jambazi sugu na isadi pap lowasa kamwe awez kuwa rais wa tz labda rais wa mateja
 
Ivi nyinyi timu Lowasa kwa nini munaogopa asikatwe yeye nani na lazima awe rais? Kama hafai atakatwa tu na nendeni chadema yenu ccm inaakili kuliko nyinyi mukiungana na ukawa jua cuf,act na nccr jua watarudi ccm kama kawa alafu itakua bilabila mukiingia mtaani serikali ipo tayari kuwakabili kwa ufupi tu mumechambia nyembe.
 
Dhambi aliyofanya Kikwete ya kumtishia BW Mkapa mwaka 2005 inamrudia yeye mwenyewe....
Na alivo dhaifu akitishwa vizuri ataweweseka balaa...!!

Go go go go #TEAM-MPASUKO
 
Yaani mtu aliyevunja kanuni zote kuliko wote ndo leo aonekane kiongozi, vipi akikabidhiwa chama si atazichana kanuni zote ili aweke za kwake kwa ajiri ya kuwafunga midomo wapinzani
 
Ivi nyinyi timu Lowasa kwa nini munaogopa asikatwe yeye nani na lazima awe rais? Kama hafai atakatwa tu na nendeni chadema yenu ccm inaakili kuliko nyinyi mukiungana na ukawacuf,act na nccr jua watarudi ccm kama kawa alafu itakua bilabila mukiingia mtaani serikali ipo tayari kuwakabili kwa ufupi tu mumechambia nyembe.
..

Hatoki mtu CCM....mleteni Bilaliii tutampaa... mleteniii Mkulima tutampaaa.... know that vote za Edooo ndani ya NEC zitahesabiwaaa......akiwemo au laaaa.....
 
Mnawaza mkimweka Mzanzibar Muislam hatutamchagua ili mseme ni zamu ya mkiristoooo....halipooo... wekeni mama wa zanzibar tutawapa
 
Tanzania ni ya Watanzania...Tuipendee Tanzaniaa....Tusiogopeee watu wenye uwezo....Ati zamu ya wanawakeee....Asha Rosee....Ukiulizwaa Bilaliii unasema Mzanzibar....Muislam...mkiulizwaaa Asha rosee....oooohoooo...ohooo. Mbona Muislam humsemii mnabadilikaaa...ndio dhambi za ubaguziii...kuna agenda ya siri CCM wakiishindwaaa watanzania wataiwezaaa....
 
Ivi nyinyi timu Lowasa kwa nini munaogopa asikatwe yeye nani na lazima awe rais? Kama hafai atakatwa tu na nendeni chadema yenu ccm inaakili kuliko nyinyi mukiungana na ukawa jua cuf,act na nccr jua watarudi ccm kama kawa alafu itakua bilabila mukiingia mtaani serikali ipo tayari kuwakabili kwa ufupi tu mumechambia nyembe.

UKAWA hatufugi mafisadi...Zimwi mlilolifuga wenyewe sasa linawatesa.Nyie mngekuwa wapinga ufisadi Lowasa na timu yake wangekuwa Segerea now,kwa hiyo mtulie tu fisadi akivuruge chama hadi mtie akili
 
Kazi ya timu lowasa ni kuitisha ccm. Kwa walivyo na akili finyu wanaamini watz wa leo ndo wale wa jana.
Jambazi sugu na isadi pap lowasa kamwe awez kuwa rais wa tz labda rais wa mateja

kabisa yaani wanawapa wakati mgumu sana wachaguzi. HOPE JK SI DHAIFU TENA.
 
lowasa ameitisha ccm na ccm imekubali kutishika.yote hayo ni matokeo ya kujenga mtandao ndani ya chama ili kusaka uongozi.
 
Tanzania Tanzania...kwaheri kwaheri CCM kama .

CC NA KAMATI YA MAADILI MTAENDELEA KUMDHARAU EDO NA TEAM EDO....THEY ARE SMART WATATOKA CCM KWA KUBAKI CCM.

MMEMALIZA KUPAMBANA NA EDOOO...NA HAMUWATAKI WATU WENYE UWEZO...MNABAGUA KWA KANDA....DINI...JINSIA....NA MBAYA ZAIDIII HAMTAKI WENYE UWEZOOO ....

Watanzania wenzangu na wana CCM mwaka huu CCM wanachezea shilingi chooni kwa dhumuni la kuangalia maslahi ya urafiki. Kuna mpango wa siri wa kumweka Ndugu Brother na wagombea dhaifu kwa matumaini kuwa atawashinda.....ukweli ambao JK na team ya CC wanatakiwa kuujua ni kuwa Team Edo watamchagua mgombea aliye dhaifu atakayewekwa na cc chaguo la Bwana mkubwa...Hivyo kukipa UKAWA ushindi wa mezani ndio adhabu watakayompa na chama cha mapinduzii......

Tegemea mshindi usiyemtegemea..na wasiyemtegemeaaa..

Mkuu hii nchi ina viongozi wengi sana wa kuiongoza serikali na sio mtu moja.
 
Kazi ya timu lowasa ni kuitisha ccm. Kwa walivyo na akili finyu wanaamini watz wa leo ndo wale wa jana.
Jambazi sugu na isadi pap lowasa kamwe awez kuwa rais wa tz labda rais wa mateja
Futa kauli hizi za kichochezi. Si busara kuhuhukumu bila ushahidi. Mlitaka atoe siri za baraza la mawaziri ambazo alikula kiapo kutotoa? Jamani, angalieni ukweli uko wapi! Maamuzi walifanya wote lakini Edo wa watu anahukumiwa bureeee!
 
huko kusini tushapataga mkapa

ACHENI PANDE ZINGINE ZIPATE

TANZANIA NI YETU SOTE!!!!
 
UKAWA hatufugi mafisadi...Zimwi mlilolifuga wenyewe sasa linawatesa.Nyie mngekuwa wapinga ufisadi Lowasa na timu yake wangekuwa Segerea now,kwa hiyo mtulie tu fisadi akivuruge chama hadi mtie akili

We bado mtoto hakuna unachojua siku ingine uwe unauliza unaelekezwa sio kulopoka tu
 
ukawa kusambaratika akipitishwa lowasa.maana ananguvu kubwa ya kuwashawishi wananchi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom