TANZIA: Col T. N. Mlay (rtd) has passed away

Gabby

Member
May 18, 2010
33
9
Wanajamii, napenda kuwajulisha kwa masikitiko kifo cha mzee wetu mstaafu Col T.N.Mlai kilichotokea jana jioni ktk hosp. ya KCMC, Moshi. Marehemu alikuwa maarufu sana kwa wale waliopitia JKT miaka ya 80 na 90 hasa vikosi vya Buhemba na Mafinga.
Maziko ni mapema wiki ijayo huko kijijini kwao Kawawa Kirua Vunjo Moshi.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.

screenshot_2018-01-25-14-53-44-png.684111
 
Wanajamii, napenda kuwajulisha kwa masikitiko kifo cha mzee wetu mstaafu Col T.N.Mlai kilichotokea jana jioni ktk hosp. ya KCMC, Moshi. Marehemu alikuwa maarufu sana kwa wale waliopitia JKT miaka ya 80 na 90 hasa vikosi vya Buhemba na Mafinga.
Maziko ni mapema wiki ijayo huko kijijini kwao Kawawa Kirua Vunjo Moshi.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
Alikuwa mfupi lakini mkakamavu na mwenye utu sana RIP mzee wetu
 
Wanajamii, napenda kuwajulisha kwa masikitiko kifo cha mzee wetu mstaafu Col T.N.Mlai kilichotokea jana jioni ktk hosp. ya KCMC, Moshi. Marehemu alikuwa maarufu sana kwa wale waliopitia JKT miaka ya 80 na 90 hasa vikosi vya Buhemba na Mafinga.
Maziko ni mapema wiki ijayo huko kijijini kwao Kawawa Kirua Vunjo Moshi.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
Alikuwa anawapenda wapiganaji chini yake. Anabaki katika historia kama CO pouwa sana
 
Siku moja pale Msange mkuu wa majeshi Major General N. Mkisi alikua anatoa hotuba mbele ya maaskari na makamanda. Katikati ya hotuba akamwamrisha mkuu wa kikosi cha Msange Lt. Col.Sanga Awape makamanda soda. Mlay bila kusimama akasema yeye sio mtoto mdogo wa kunywa soda. Mkisi akasema. Sanga mke kamanda beer. Alikua ni mwanamme wa shoka. Alishawahi kumuweka mke wake quarter guard.RIP KAMANDA
 
Masahihisho madogo

Hatukuwahi kuwa na mkuu wa majeshi akiitwa Major General Mkisi.

Ila kama kumbukumbu zangu zinanielekeza vyema ni kuwa tuliwahi kuwa na mkuu wa jkt akiitwa Major General Mkisi
 
Siku moja pale Msange mkuu wa majeshi Major General N. Mkisi alikua anatoa hotuba mbele ya maaskari na makamanda. Katikati ya hotuba akamwamrisha mkuu wa kikosi cha Msange Lt. Col.Sanga Awape makamanda soda. Mlay bila kusimama akasema yeye sio mtoto mdogo wa kunywa soda. Mkisi akasema. Sanga mke kamanda beer. Alikua ni mwanamme wa shoka. Alishawahi kumuweka mke wake quarter guard.RIP KAMANDA
Mkuu wa majeshi gani anaitwa Mkisi?
 
Tulikwenda kufanya kazi nyumbani kwake Mafinga, alikuwa na wageni aliwachinjia mbuzi, baada ya kutuona tupo nje akatukatia mguu wa mbuzi akasema mtajua wenyewe kwa kuchomea, ila mkitaka mnaweza kula mbichi, akakata sehemu ya nyama akala mbichi
 
Back
Top Bottom