Recent content by GABANGO

  1. G

    JamiiForums Tanzania Je! kunataarifa za Matokeo CPA(NBAA) 2014?

    yatatoka kua mpole....
  2. G

    JamiiForums Tanzania Je! kunataarifa za Matokeo CPA(NBAA) 2014?

    hawezi kua nazo
  3. G

    JamiiForums Tanzania Je! kunataarifa za Matokeo CPA(NBAA) 2014?

    hahaha hawajui vizuri nbaa...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Je! kunataarifa za Matokeo CPA(NBAA) 2014?

    Tulia...bado sana haiwezekani ufanye mtihani Nov mwishoni upate matokeo mapema hivyo.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Nani kuwa Waziri Mkuu wa tatu kwenye awamu ya nne ya Kikwete?

    Arudi mzee wa maamuzi magumu...aka President elect
  6. G

    JamiiForums Tanzania Funny abbreviations for PCM, PCB, EGM etc

    ECA..Expected Chief Accountant
  7. G

    JamiiForums Tanzania Udom kama Barcelona

    Jaluz hakuna chan maana ulicho andika watu wakikumbuke....nafikiri wanao shauri watu wasome waache malumbano ktk kusifia vyuo walivyosoma ni wenye akili na naamini ni wasomi wazuri....falsafa yako ya kufananisha chuo na mtu mwenye upara na eti atabadili sana bahasha ktk kutafuta kazi ni hoja...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Udom kama Barcelona

    Nocla upo sahihi, hao udsm tumewafunika hakutokeza hata mmoja. Tumetia mutu zaidi ya 7 kati ya kumi walohitajika. wasubiri Mkandara labda atawapendelea...atakapo tangaza nafasi za Tutorial assistant hapo mlimani..ila huku kwingine uwezo wako utakuweka mahala fulani na si jina la chuo chako...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Udom kama Barcelona

    wewe BJEVI umemkosoa vizuri ila swala la interview ni uwezo binafsi mzee..acha kusinzia mchana. Mimi nimesoma Udom..siisifii wala siiipondi...ina mazuri na mapungufu pia.....kama inavyoweza kua udsm ama chuo kingine chochote. Mind you..ktk kuajiri hawaajiri chuo bali mtu as an individual.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi Chuo Kikuu Mlimani Wanaenda Twisheni

    UDSM kama taasisi naikubali kwani ni chuo chetu sote watanzania and its equal oppotunity institute...so kusoma pale usifikiri wewe ni mmiliki wa chuo hicho..its public institution. UDSM iko juu..ila kwa mtu mmojammoja ni vizuri kujitathmini je wewe una uwezo gani?
  11. G

    JamiiForums Tanzania Ni uduni na ufinyu wa mawazo kuvibeza vyuo vikuu vingine kwa misingi ya ubora usio wa kimantiki!

    UDSM:home of intellectuals...hutaki kalale. hata mimi nakubali kwani vyuoni kote ndo wapo mintalectuals. Je wewe ni interlectual? interlectual anakosoa na ana suggest way foward..sasa wewe zaidi ya kulewa sifa huna msaada. ni aibu sana kwa wewe kujiita interlectual wa udsm alafu reasoning...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Vyeti vya degree vya fungiwa maandazi

    Mtoa uzi kama kweli huithamini elimu ama degree na kama kusoma kwako ni kupoteza muda..kama una watoto ama ukija kua nao usiwapeleke shule na kama wakienda waishie la saba. usifikiri kwa kua wewe umefanikiwa bila elimu na kwa mwanao itakuja hivyohivyo. kua makini na uadikacho humu na kama kweli...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Masomo haya yangewekwa kuwa core subjects....

    Huwezi soma HKL ukapangiwa BAF hata siku moja....wanaweza pangiwa BAF,BCOM,BBA n watu wa ECA,EGM na kombi za science....na kama wapo ni janga...lazma watoke na gentleman degree.... Kimsingi hizo BAF,BCOM,BBA zingewafaa zaidi watu wa ECA bt kwa kua watu wa sciense ni wataala wa mathematics pia...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Masomo haya yangewekwa kuwa core subjects....

    la muhimu hapo ni mathematics tuuuuu..labda na english kidogo. History ya kazi gani? Kiswahili kinafahamika vizuri tuu..labda kama unataka kuwa gwiji la kiswahili huko abroad..ila wa tz kiswahili cha kawaida tunakifahamu.... kama hayo unayapenda nadhani kuna HKL...ila hawa watu hawapatani na...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Tafadhali naomba nitumie vyanzo vyovyote ambavyo vitanisaidika kuandika shahada.

    huyu naye kama PM...shahada inaandikwa vipi sasa................
Back
Top Bottom