Huyu mtoa posti ana jambo Moja tu. Either wakat Wa JK alimponda sana au anafuta Kiki kwa nguvu.
Wanasiasa imara hupima nyakati zote za kisiasa na kuchambua mema na mabaya. Na hii niwakumbushe ktk dunia hii tunayoishi iwe Africa Asia au Ulaya hakuna Rais atakayetawala bila kufanya kosa au...
Nimeamua kuwaletea utabiri huu baada ya kuona hali za wanasiasa wengi wanaotoka ccm na baada ya maisha nje ya ccm huwaje.
Hali zao huwa dhoofu sio kiuchumi Ila huwa kama mkiwa aliekosa baba na mama. Hukosa marafiki aliewazoea kukutana nao wakati ule alipokua ccm.
Maisha hayo yananikumbusha kwa...
Kwa sasa Dunia inakwenda ktk standard utumishi uliobora.
Na hii nadhani mashirika mengi ya umma yanafanya jitihada ya kutambulika kimataifa utendaji wao ili kuionyesha Dunia kuwa Nchi fulani inaachana na uzamani na kwenda na usasa (teknoloji).
Ni kweli kama tuataanza kuelekeza matatizo yetu...
Ukatili wa kijinsia ni ukatili wowote unaofanywa na mtu kumfanyia mtu mwingine bila kujali umri maumbile kabila rangi dini au mitazamo tofauti ya kisiasa au mingine.
Lakini hii inaweza kuwa tofauti sana na inavyotambuliwa na wengi.
Wengi wanajua unyanyasaji huu ni wanawake na watoto tu.
Na...
Huu ni wakati wenu wa kusimamia tamko la waziri juu ya nyumba za kupanga.
Kodi ilipwe kwa mwezi na sio kwa miezi sita au Mwaka.
Kusahau au kutosimamia hili hakutakua na maana saana ikiwa wajumbe walio wengi ndio wamiliki wa nyumba hizo na ndio madalali wakuu wa biashara hio.
Simamieni Tamko la...
Watanzania wengi wanadhani mabadiliko in sura ili na sura mbili au zaidi ya moja.
Mabadiliko ni hatua za ukuaji kutka sehemu moja kwenda nyingine. Hali hii ndio ukuaji.
Tanzania inapiga hesabu mbalimbali toka kuupata Uhuru mpaka Leo no miaka mingi sana iliopita. Kwa namna yoyote ya kawaida ni...
Katika hali iliozoeleka Tanzania watu wengi hukimbilia kazi au ajira kabla ya kujifunza na kujua sheria za kazi nchini na kimataifa ILO. Watu wengi hukimbilia pia kusaini mikataba ya ajira bila kujua mkataba unasema nini kati ya muajiriwa na muajiri.
Hali hii imepelekea watu wengi sana kupoteza...
Hivi karibuni kumezuka wimbi la wavulana wadogo kuoa au kuchukua wanawake wenye umri mkubwa jambo ambalo nadhani sio mbaya kwani nao wanawake hao wamekua katika sintofahamu mpaka sasa bila ndoa wala watoto kwa sababu za kula ujana.
Ujana unapokwisha heshima inapungua lakini hupungua zaidi pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.