MATOKEO YA CHAGUZI NDOGO CJAJUA MBABE.

MATOKEO YA CHAGUZI NDOGO CJAJUA MBABE.

G1ONE

Member
Joined
Nov 8, 2017
Posts
11
Reaction score
4
Watanzania wengi wanadhani mabadiliko in sura ili na sura mbili au zaidi ya moja.

Mabadiliko ni hatua za ukuaji kutka sehemu moja kwenda nyingine. Hali hii ndio ukuaji.

Tanzania inapiga hesabu mbalimbali toka kuupata Uhuru mpaka Leo no miaka mingi sana iliopita. Kwa namna yoyote ya kawaida ni lazima uajua n kutambua zama zote za hizo ziliopita kumekuwepo na mabadiliko mbalimbali ya kiuchumi Kielimu Kisiasa na Kiutamaduni.

Tanzania ipo katika safari ndefu za kimadiliko tunayohitaji kwa sasa au wakati huo.

Tumeona tumesikia tumefikia mambo mbalimbali ya kimaendeleo in lazima tukili tufaham tuelewe na kutafakari kwa nn sasa tupo hapa.

Wakati huu haya ndio maendeleo yake.
Na wakati huo ukifika tutafikia huko kwenye nchi ya asali na mito ya maziwa.

Haya yanawezekana.

Nadhani Tanzania inaweza Siku
moja ikawalipa mshahara watu wake hats kama huna kazi.


Hakuna kisichowezekana in jambo la wakati tu. Wakati ukifika kila kitu kinawezekan.
 
Back
Top Bottom