watu hao wana wivu wa maendeleo. Unadhani watu kama hao wataweza kuwatunza hao samaki wakiachiwa?.
Nahisi hamana fikra za kiujasiria mali.
"wivu haujengi" hali kama hii inasababishwa pia na ufinyo wa elimu hivyo msiwalaumu kwa kuwa ni wajinga (hawaja elimika).
Kwa upande wangu niliwahi...
Kwa sasa TANZANIA sio nchi ya wachache kama zamani walivyoishi babu zetu ni nchi yetu wote.
Kumuongoza mtu mwenye uwezo mkubwa wa kupambanua mambo ni kazi kubwa.
Kwa ninavyo amini WELEDI ukizingaiwa bila kufatana fatana mambo yatasonga.
Kama maendeleo ya nchi hii ni yetu sote, kuzorota kwake...
Najipanga kuchukua CPA Baada ya miaka 4. Ryt now najipanga.
"if its hard, go harder"
mtoto akifail wazazi wanamkalisha chini.
MZAZI AKIFAIL???
Ukifail kupata CPA Tambua kwamba bado haujaiva kuwa mmiliki. Chakufanya ni kujipanga ili uipate na si kulalamika.
"I think u can get it if u want it...
Kilicho kupeleka sua ni nini?
Jitambue na upambane nihisi ndilo jambo la msingi kwa sasa.
Wakati wa kulalamika umepita , uliopo ni wa kupambana na changamoto zinazo tupata.
dats a criminal offense naomba uwatake radhi dada na mama zako.
MUOGOPENI MUNGU AMBAYE SIFA YAKE YA KWANZA NI MWEPESI WA KUSAMEHE NEA YA PILI NI MKALI WA KUADIBU
Hahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaahh
am back . Wakubwa mpoooooo/
ni baada ya kuw msaliti kwa kipindi kirefu sasa nimerudi.
Nafurahia kukumilisha mwaka mmoja na siku mbili.
bank hazina faida katika kutunza fedha kwa muda mrefu coz kuna gharama za uduma nyingi mno kama kuangalia salio,kutuma pesa,makato ya mwezi ,huduma za malipo kama luku n.k.
Hivyo basi ukiweka Tsh. 100000 baada ya mwezi mmoja utakuta pungufu ya 100000 hivyo nakubaliana na kuhifadhi pesa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.