TCU computer expert wanabahatisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TCU computer expert wanabahatisha

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by frankmkushi, Aug 21, 2012.

 1. f

  frankmkushi Member

  #1
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hawa tcu wanacheza 2 con kama wanafanya kazi mara ur admitted baada ya muda eligible ukirefresh wanakupa na chuo ulichochaguliwa tatzo likaja kw wengine walio mbali na info tech mpk wanakuja kufungua profile zao wanakuta k2 hakipo. Mi naona hawa expert wababaishaji kama kuna wale wanaosoma ki2 cha computer wakaze buti wa2ondolee hawa wababaishaji wa tcu. Mpk saiv wengne wana2ona liars cuz hawajakuta k2.
   
 2. Didia

  Didia JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 721
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  hivi mtu anachaguliwaje course ambayo hakuomba? Hii CAS iko sawa kweli?
   
 3. I

  Izzo G JF-Expert Member

  #3
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 417
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  jaman me mwenyewe wamenifanyia hvyo
   
 4. MBUFYA

  MBUFYA JF-Expert Member

  #4
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mi nadhani huo uchaguzi wao sio rasmi
   
 5. l

  lito saint Member

  #5
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii bongo hii...
   
 6. f

  frankmkushi Member

  #6
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Dah kila cku wana2pa presha mcshangae kesho wakalet mkopo wakawek wengne 0% wa2 2kafa kwa presha. Af unakuta tn umepewa 80% kabla hujamalza kushangilia unakuta k2 20%
   
 7. G

  G.JUMA Senior Member

  #7
  Aug 21, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 112
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bora ukute hata hiyo 0, unakuta N.I.L @ MKUSHI.
   
 8. f

  frankmkushi Member

  #8
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Apo ndio kifo weng 2taishia kuacha chuo cuz dah kila k2 kinakua kgumu
   
Loading...