Recent content by G.25

  1. G.25

    Oktoba 29, Usiache mbachao kwa msala upitao!

    Kilichokufanya uongee yote haya ni nini!? Kama ni maandamano, je yanayolalamikiwa mpaka watu watake kuandamana yanahusiana vp na haya uliyoyaandika hapa!? Unasifia mradi x wa ml. 500 lakini huwakemei walioiba ml 200 kwenye mradi x! Watu wanataka reforms ndio waende kwenye uchaguzi, wewe...
  2. G.25

    Hivi TV nchi 32 kushuka chini nayo ni ya kununulia Tv guard

    Hata mi nimeshangaa baada ya kuona hapa kuna watu wanatumia tv guard kwenye smart tv! Labda maana smart haijulikani!
  3. G.25

    Wazoefu wa Biashara naombeni wazo la biashara

    Hata mimi nimeshangaa watu wanavoona haiwezekani! Binafsi nina kibiasharq kilianza na ml 3.5 nikawa naingiza around 300,000 kwa mwezi. Kwa sasa mtaji umefika 6.5ml na napata 650,000=700,000. Kwa mwezi. Kwanini 10ml. Isiingize 1ml kwa mwezi?
  4. G.25

    Mrejesho wa kuanzisha biashara na kampuni ya Pombe Kali

    Nimevutiwa sana na unachokifanya, upo mkoa upi?
  5. G.25

    Application ya mikopo ya ukopeshaji imegonga mwamba, sijui nilipe huu mkopo au niingie mitini?

    Labda kama unasema uchague kulipa sasa au baadae, Ila kulipa ni lazima labda usihitaji huduma za kibenki au uwe umekufa. Hapo inayodaiwa ni namba yako ya nida sio line ya simu
  6. G.25

    GE2025 Polepole unapomshauri Samia aseme nini kwenye kampeni, unatuona sisi Watanzania ni mazuzu?

    Ukiachana na haya ulioyaandika na ukijikita kwenye ushauri wake alioutoa, Kiukweli hata mimi nimejaribu kumwelewa mtoa mada nimeshindwa! Anasahau kujiuliza ni kwa nini rais hasemi yale anayoshauri polepole! Je sio hitaji la wananchi? Kama yana maslai kwa wananchi kwa nini hayaongelewi?
  7. G.25

    GE2025 Kumbe INEC imechukukua orodha ya wapiga kura kutoka NIDA?

    Kwamba vizazi na vifo havirekodiwi?
  8. G.25

    Goli la Uganda linakubalikaje katika zama za VAR?

    Kampuni za betting kwenye match moja kuna option zaidi ya 30, Na wachezaji kila mtu anacheza kwenye option anayoipenda, matokeo ya s.a na u.g 3-3 ukiachana na waliobet s.a anashinda wapo pia waliobet over/under, btts, d.chace, handcap n.k n.k na wote hao wqmekula kivyao vyao. Kampuni za betting...
  9. G.25

    Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

    Ma Mapenzi ndivo yalivyo, na hivyo ndivyo yanavotesa" Si juzi kati tu ulisema ulimkataa aged broken single father, na ukasema ni bora uwe na age mate wako ambae anajitafuta? Kupanga ni kuchagua"
  10. G.25

    Trump ampa Putin siku 12 Urusi kuonyesha muelekeo wa kumaliza vita Ukraine la sivyo aishughulikie

    Mpaka leo mrusi anasema hii sio vita bali ni operation ya kijeshi tu, maana yake hakuna vita, na pia hakuna muda maalum wa kuimaliza. Hapa ndio kwenye mtego halisi ambao unampa presha tramp kwasbb marekani hawezi fanya chochote cha kurudisha pesa yake ndani ya ukrain inayoshambuliwa muda wowote...
  11. G.25

    Polepole anavuruga amani ya nchi. Anavyotaka kuzungumza kesho, anataka kusema nini?

    Polepole anavurugaje amani ya nchi? Ambao wanavuruga amani ya nchi ni watekaji, wauaji na majizi yote yaliosemwa na c.a.g" Ukiacha unafiki na uchawa ungesema tu ukweli kuwa anavuruga amani ya ccm.
  12. G.25

    Napendekeza mabasi 300 ya mwendokasi yaliyopaki Karakana kwa ubovu wa engine, yafungwe motor za umeme

    Huku india basi kama hizo za mwendokasi zinatumia motor za umeme, ziko smooth na faster. Ni daladala zinamilikiwa na serekali na barabara zinazopita ni hizihizi za kawaida. Kiufupi hao wa kwetu hawana maarifa sahihi au ni majizi"
  13. G.25

    Dunia imebadili wengi, alisema ananipenda leo ananiambia nitoe Mimba, hivi kweli!!

    Kama hamkukubaliana kuanzisha familia, halafu wewe gafla tu unamwambia unamimba atafanyaje sasa wakati tayari anayo familia nyingine!!? Mtu akikuambia anakupenda ni sawa tu kwasababu ni kweli anakupenda" Lakini akikupenda haina maana kuwa anataka kuanzisha familia" wanawake mkoje!!!?
  14. G.25

    Wachimbaji Visima katika Mikoa yote

    Nitakutafuta uje unichimbie kisima.
Back
Top Bottom