Uchumi ni export zinazotokana na value addition. Kama viwanda . Viwanda vinaitaji umeme wa bei nafuu. Wenye kutabilika. Barabara na reli zenye kupunguza ghalama za usafirishaji. Bandari za kisasa. Na watu wenye elimu.
Hauna unachojua kwenye uchumi. Kaa kimya. Uchumi strong haujengwi na petty middle men uchumi strong unajengwa na Manufuring sector. Hauwezi kuwa na na shida za umeme. Bandari, usafirishaji wenye ghalama kubwa ukajenga uchumi.
Shida nadhani ni jinsi walivyokuzwa. Mwinyi watoto wake hata walikuwa hawajulikani na mwinyi ni tajiri. Mkapa watoto wake wako kimya na hauweziwajua. Na mkapa kawaachia mali nyingi. Mahoteli. Viwanda vya sukari. Magufuri ndio sasa wanaanza kuonekana. Lakini sasa hawa wawili daah! Kila...
Gari zinazotoka Morocco zingepita juu hadi ilala au keko. Gari zinazotoka posta via fire zingepita juu hadi manzese arafu chini ukawa na barabara zingine.
Wakenya niwape siri nchi za kisocialist huwa zinaguza miji yake kwa kasi. Hivyo vijiji wanavyovitengeneza ubadilika na kuwa miji haraka. Exammple ni china na urusi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.