Recent content by Fyejmak

  1. F

    JamiiForums Tanzania Shule za kua coach

    Sorry wadau mtu akitaka kujifunza na kua certified na official football coach anapaswa kufuata atua gani?
  2. F

    JamiiForums Tanzania .Siyo kila kila kitu ni cha kukumbatia...Yatawakuta msiyoyategemea...ohooooo

    Waweza kunawa tu, kama ndio ivo wazazi wetu had leo wangekua wananuka mikono au nguo zao
  3. F

    JamiiForums Tanzania Kati ya hawa watu wawili nani alikuwa na nia ya kumuibia mwenzie

    Mama alimshtukia, kama dereva alikua na nia ya dhat angempa mapema sana, ko mama hana makosa katika maswala yetu ya kiupelelez hapo mama hanakosa kabisa
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kati ya hawa watu wawili nani alikuwa na nia ya kumuibia mwenzie

    Dereva huyo, maana mama alimshtukia mapema sana
  5. F

    JamiiForums Tanzania Have You Noticed

    Duh
  6. F

    JamiiForums Tanzania To reset epson printer l1300

    Naomba msaada wa kureset epson machine, maana inadai kuerest ili iendelee kufanya kaz
  7. F

    JamiiForums Tanzania Epson printer l1300

    Naomba msaada wakupata keys za kureset epson printer, mana nomejitahid nimeshindwa, msaada tafadhar
  8. F

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kulock dvd ili isiwezwe kukopiwa na computer,

    Lakini juzi hapa nilikutana na dvd ambayo ukiweka kwenye deck ya dvd inaplay kama kawaida lakini katika rom haisomi bali inakua empty dvd
  9. F

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kulock dvd ili isiwezwe kukopiwa na computer,

    Thanks sana
  10. F

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kulock dvd ili isiwezwe kukopiwa na computer,

    No kiongozi, kinachofanyika ni kwamba kwenye dvd deck player inaonyesha but ukienda katika computer dvd rom inas9ma kama empty dvd, hadi uweke pasword
  11. F

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kulock dvd ili isiwezwe kukopiwa na computer,

    Habar zenu wakuu, Naomba msaada wakulock dvd cd, ili kusiwe na uwezekano wa mtu yeyote kuweza kukopy khaz iliyopo ndani zaidi ya aliye tengeneza, Nawasilisha.
  12. F

    JamiiForums Tanzania Jamaa alipokutana na mrembo

    Ahahahah,
  13. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi Mumeo/Mkeo ni ndugu au rafiki?

    Mke ni zaidi ya ndugu, maana hata maandikk yanaeleza ivo, kisayansi baada ya muda mnaanza kulingana nikwasababu mnashare damu
  14. F

    JamiiForums Tanzania Mpoki akamatwa na kosa lake ni weusi uliopitiliza

    Ahahaa dah
  15. F

    JamiiForums Tanzania .Net framework ipi inatumiwa na Windows 8?

    Net 3. 5 itakusaidia, na ni free kudownload
Back
Top Bottom