Tuwaseme
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 645
- 1,191
Wana Jf Nisaidie kujua kati ya hawa watu wawili nani alikuwa na nia ya kumuibia mwenzie?*
Dereva: mama wa matunda shi ngapi yote uliyobeba?
Mama wa matunda; yote baba 15,000/!
Dereva;weka kwenye buti nyuma ukimaliza uje uchukue hela yako
Mama wa matunda( kazunguka nyuma ya buti kafungua buti, hajaweka matunda, kaacha chini matunda. Kafunga buti kwa nguvu kama kaweka kitu)
Dereva( baada ya kusikia buti limefungwa kaondoaa gari speed bila kumpa mama pesa)
Mama wa matunda kabaki na matunda yake na Dereva kaondoka na gari bila matunda
Je kati ya Dereva na mama wa matunda nani alikuwa na lengo la kumuibia mwenzake?