Kwakweli upande wa Majengo Mwanza inajitahidi sana tatizo lililobaki ni Mipangomiji, Kila uelekeo unapoenda unakoenda watu wanashusha vitu sio kinyonge, Kukuta Nyumba ya Million Mia Uswahilini ni jambo la kawaida, Serikali waongeze nguvu hapa
Hahaa hii ni kweli jamaa mpaka brother K ni wao , Ila kiutani utani wanachukua point nadhani hayo wanafanya makusudi kama wafanyavyo kwenye vivutio kama Mt Kilimanjaro n.k kuwa vipo kwao
Nadhani shida kubwa ya Tanzania ni kubadili namna ya ufikiri wa Watu wetu hili Serikali inapaswa kuliona, Kama uliwahi kushiriki jambo lolote linalohusu kurise awareness ndio utatujua Watanzania ni watu wa aina gani, Asilimia kubwa Sisi ni Aggressive kwenye kutofata utaratibu na excuse nyingi...
Tatizo kubwa la Tanzania ni Hatujitangazi na language barrier, Mtanzania anaenda shule huku Focus yake inawaza Ajira za Halmashauli huyu hawezi kuwaza kujibidiisha kwenye Lugha za Mataifa Mengine!
Embu fikiria unamtangazaji kama Zuhura Yunis na Salim kikeke shilika kubwa kama BBC badala ya tutengeneze Watanzania kama hawa kwenye Mashirika mengine makubwa sie tumewaludisha Nyumbani, Information is Power bahati mbaya informer wetu wachache International nao tunawaludisha home!
Kuna hawa wanaume wanene wanapendelea kuvaa jezi ama tisheti akikaa kijiweni kwenye benchi unakuta suruari na t-shirt havina ushirikiano mstali wa makalio wote upo nje, aisee inatia aibu sana na pengine ni Baba wa familia kabisa
So sad lakin hamna namna ni umaskini tu, Kuna tofauti kubwa kati ya kujinyima na kusave, anasave mtu anae kidhi mahitaji yake kwanza tofauti na hapo unajinyima na hii ni dhambi kama zilivyo zambi zingine!
Unaeleza Vizuli sana ila kuna kitu unachanganya Mfanyabiashara ni agent tu anaeisaidia serikali kukusanya kodi kutoka kwa hao unaofikili hawalipi kodi, Ipo kama hivi tuseme gharama za Uzalishaji wa Mfuko mmoja wa Cement ni Tsh 12,000/= basi Mzalishaji huongeza faida yake tuseme 3,000/= kisha...
Kwakweli mimi mwenyewe napata ukakasi na namna GDP inavyokua calculated, Ngoja nifafanue kirahisi kabisa Mimi Mwalimu Juma nalipwa Laki tano naishi Iringa matumizi yangu kwa siku ni Tsh 7,000/= kwa sababu bizaa zina bei ndogo, Lakini pia Mwalimu John yupo Dar Mshahara laki tano kama mimi ila...
Kabla ya Mkapa Stadium Mashindano kama Tusker na Kagame Cup yaliletwa Mwanza na Tulijaza CCM Kirumba mpaka ikatapika unahitaji Research gan nyingine uone uhitaji ni mkubwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.