Mwanza yafanyike yafutayo
1.Upanue barabara zifuatazo ziwe Dual carriage
(a) Kenyata road kuanzia mwanza zero mpaka missungwi iwe na 6lanes kwa 4lanes
(b) Usagara kwenda Sengerema kupitia daraja la Kigongo iwe na 6lanes kwa 4lanes
(c) Usagara kwenda kisesa iwe 6lanes
(d) usagara kuwepo na interchange
(e) Nyerere road kuanzia nata kwenda magu iwe na 6lanes kwa 4lanes
(f) Airport kwenda nyanguge iwe 4lanes
(g) kisesa kwenda airport iwe na 6lanes
2.Tunahitaji international Airport itimie maana ni mda mrefuu sana imebaki ni story tu, hii itachochea kuufungua mkoa na nchi pia
3.Kule Kigongo busisi darajani, wahamishwe watu na kupangwe upya, kuwe na makazi ya low density yenye kuanzia floor moja kwenda juu, kuanzishwe taasisi kama chuo kikuu hayo maeneo,
4.Samia scheme projects tunaomba pia ije mwanza na pia ijengwe kigongo busisi
5.Satelite city kama Iyumbu satellite tunaomba pia kwa mwanza iwe busisi huko
Nashkuru