Hili lipo mtaa gan boss
Hili lipo mtaa gan boss
Ghana mkabala na uwanja wa Furahisha au karibu na mlango wa kuingia Rocky city mallHili lipo mtaa gan boss
Karibu ofisi za nactvet kanda ya ziwaKiseke ppf wachina wako speed sana
view nzuri sana asee...
Kwakweli upande wa Majengo Mwanza inajitahidi sana tatizo lililobaki ni Mipangomiji, Kila uelekeo unapoenda unakoenda watu wanashusha vitu sio kinyonge, Kukuta Nyumba ya Million Mia Uswahilini ni jambo la kawaida, Serikali waongeze nguvu hapaPale sasasaba mzambarauni Kuna hotel inakuja speed, nafikiri ni ya mwamba mwenye ukumbi wa morning star. View attachment 3458702View attachment 3458703View attachment 3458705View attachment 3458704View attachment 3458706View attachment 3458707