Waziri wa fedha awe JPM mwenyewe ili apete kujua hazina inaendeshwaje, kwani hapo ndio kitovu cha kuendeshea nchi na awe na manaibu wa2, Saada Mkuya awe kwenye fedha na amteue prof. Ibrahim Lipumba awe mb. na awe naibu wa uchumi na uwezeshaji.
Nb. Tuache siasa za chuki nchi iende mbele.
Chadema wamebugi, fimbo (ufisadi) waliokuwa wakimchapia nayo ccm sasa wamepokonywa na kuchapwa nayo wao! Hoja zao za mabadiliko hazina mashiko na ni bora kubaki na ccm kuliko kumpa mtu nchi ambae atarudisha nyuma maendeleo ambayo yashaanza kuonekana.
Hivi wabongo tunaakili gani ! yani mtu anuutaka urais kwa udi na uvumba kwa kutumia mamilioni ya fedha na sisi tunakaa na kumshabikia.
kwa kweli hii itatucost sana kama huyu jamaa atapita.
kumbukeni Nyerere alivyotuletea uhuru wa nchi hii alifadhiliwa na wala hakumwaga fedha. Mwinyi nae...
Acha propaganda zako, yani hamtaki kabisa muislam awe kiongozi wa chama. vyama vyote vyenye viongozi waislam mnavisakama kama vya kidini! shame on u!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.