Ipi ni bendera halisi ya CHADEMA kati ya hizi

Ipi kati ya hizi ni bendera rasimi ya chama cha wapiganaji;

attachment.php

Et chama cha wapiganaji CHADEMA wote wachumia tumbo tu
 
hivi kuna watu mnajiaminisha kabisa kuwa Lowassa atakuwa Rais? labda rais wa wafugaji.
 
Ipi kati ya hizi ni bendera rasimi ya chama cha wapiganaji;

attachment.php

bendera yenye mistari mwanzo hadi kati ndo ya awali na ndo ya siku zote tangu chama kiwepo,
hyo ya pili n bendera ya 4u movement kundi la wanao msapoti lowassa, walivokuja chadema wakatengeneza hyo nyingine ya mkono wa kushoto.
 
Bendera ya CHADEMA ni hiyo yenye T ikizitenganisha rangi za blue, nyekundu na nyeupe.
 
Hio ndio bendera mpya wataitambulisha baada ya kushindwa uchaguzi.
Nao watajivua gamba na bendera mpya!
 
Hii iliyokaa juu kabisa (yenye mwonekano mdogo kuliko nyingine) ni ya CHADEMA original
tena ile ambayao ilikuwa ikipinga ufisadi kwa nguvu zote , hasa wakati wa dr. slaa .

Na hii nyingine inayoonekana kuwa na duara kati kati ni ya CHADEMA feki iliyo chini
ya Lowasa na timu yake ya gia angani.
attachment.php
 
Sheria inaruhusu kubadilisha bendera kama unasababu za msingi, ukiona imewezekana ujue yuko kisheria,
nenda kwa msajiri wa vyama kamuulize kwanini chadema inabadilisha sana bendera?
 
Back
Top Bottom