Jamani njaa ni matokeo,tuamue kuibadilisha kwa kukubali kufanya kazi kwa bidii na kujituma," Jembe halimtupi mkulima"- Hii ina maanisha kila mmoja akifuata anachosema Rais na kuamua kufanya kazi kwa bidii,mambo yatabadilika,na pia kila mtu apande mti hata mmoja basi mwaka huu ili kuivuta...