Maxcom Africa iangaliwe kwa jicho la karibu

Aliyekwambia servers za mwendokasi zipo maxcom ni nani??
Kwa kigezo hili, najiridhisha kuwa hujui ukisemacho!
Ila baadhi ya point nakuunga mkono, mfano point ya mwisho, nina ndugu wa mbali anafanya maxcom, nilizungumza nae, ni kero kwa kweli!
Maxcom ndio wana tenda ya mwendokasi, ata risiti za mwendokasi ukiangalia utaona logo ya maxcom, failure ya servers zao itamaanisha problem kwa risiti na associated problems, au risk ziendanazo na hizo
 
Usiigombanishe Awamu ya Tano na wafanyabiashara.

Mh. Rais hajaja kukandamiza wananchi wala wawekezaji,Serikali ya Awamu hii sio kama unavyowaza.

Umeanzisha thread iliyojaa upinzani kibiashara. @Jamiiforum Inatakiwa kukuchunguza usije ukawa umetumwa

/
Ama kweli kuna shida sehemu......
Kwahiyo mkandarasi wa ujenzi akijenga kitu kibovu naww ukaona ubovu, hutakiwi kusema kwasababu ni upinzani wa biashara. Kwa maslahi mapana despite upinzani wa bishara ni vyema kutoa tahadhari kabla ya madhara.
Kwan uchunguzi ukigundua hamna cha ukweli hata kimoja shida ipo wapi?!
Ila je, kama ni vya ukwel huoni itakua vyema kwa manufaa ya wote
 
Mnyonge mnyongeni ,haki yake mpeni.Maxcom rekebisha changamoto twende mbele,kama una kauli mbaya kwa wateja acha mara moja,kama una fukuza wafanyakazi bila utaratibu acha mara moja,zaidi Mungu akuongeze na kukufanikisha,tujenge nchi yetu na tumpe Rais wetu support ya kuifanya Tanzania nchi ya Viwanda,na Mungu atatubariki tuu..maana penye nia pana njia.!
 
wadau nimesoma mjadala na kuelewa....nadhani ni vyema tukajadili mchango wa technoloji kwa nchi yetu hasa hasa kwa kampuni zetu za wazawa ndani vinginevyo tutaishia kulalamika kwa kuendekeza makampuni ya nje yanayokuja hapa kuchuma na kuondoka....mwishoe tunaishia kwenye yale yale ya makinikia....TUJIKITE KWENYE HOJA ZA MSINGI BADALA YA KUENDELEZA PROPAGANDA AMBAZO KIUKWELI KAMA TAIFA HAZITUSAIDII....TUJENGE NCHI JMN HII NCHI NI YA KWETU WOTE.....LETENI HOJA NA SIO VIOJA
Hivi kwanini twaogopa criticism?!
Propaganda Ni kuongea bila research, na kuongea hoja zisizo na mashiko.
Kuogopa ukweli haimaanishi utakua uongo.
 
Maxcom ndio wana tenda ya mwendokasi, ata risiti za mwendokasi ukiangalia utaona logo ya maxcom, failure ya servers zao itamaanisha problem kwa risiti na associated problems, au risk ziendanazo na hizo
Wana tender ya ku-maintain system, ila system sio yao! Server za mwendokasi hazipo maxcom office, Na kigezo cha kusema tiketi zina nembo ya maxcom basi ndio server zao zinatumika ni kigezo kisicho na uzito hata kidogo. Ukiambiwa server za mwendokasi zipo TTCL utabisha? Huu ni mradi wa serikali, sio wa mtu binafsi isipokuwa wameweka wadau wauendeshe huku wao serikali Kupitia DART wakiu-monitor.
 
Hivi ukiweka hela kwenye account ya mtu mwingine hata kwenye M-PESA wanarudishaga?
hata hili nalo unabisha? ukikosea kutuma hela tigo, mpesa, airtel money ukiwahi kupiga cm kabla mteja hajatoa inarudishwa bila shida na hata wakikuta ametoa wewe ukahifadhi huo muamala ukaendelea kuwakumbusha wakikuta kuna hela wanarudisha, sasa wewe kosea maxmalipo uone watakachokufanya ilishanitokea hii nilirushwa danadana mpaka leo hamna kitu
 
Aliyekwambia servers za mwendokasi zipo maxcom ni nani??
Kwa kigezo hili, najiridhisha kuwa hujui ukisemacho!
Ila baadhi ya point nakuunga mkono, mfano point ya mwisho, nina ndugu wa mbali anafanya maxcom, nilizungumza nae, ni kero kwa kweli!
Sever za mwendo kasi how
Maxcom wamekula tender ya Udart ya kuuza ticket. Sasa hutaki nn
Other things zipo chini ya Dart

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua unacho ongea??
Jua kutofautisha. Kati ya DART na UDART
Af uone Maxcom wana integrate vipi

Sent using Jamii Forums mobile app
Najua nachoongea!
->DART (Dar es salaam Rapid Transit) ni kitengo (wakala) wa selikali chini ya TAMISEMI kilichopewa jukumu la kusimamia mradi wa BRT(Bus Rapid Transit) hapa Dar es salaam. Ni kama Regulatory Authority ya BRT.
->UDA-RT ni kampuni iliyo chini ya kampuni ya usafirishaji Dar ws salaam (UDA) inayomilikiwa na Simon Kisena Group of Companies ambayo imepewa jukumu la kutumia miundo mbinu ya serikali ya brt( barabara na vituo) kusafirisha wana dar es salaam.
-> Maxcom ni kampuni ya mzawa Juma Rajabu iliyopewa jukumu na serikali baada ya kupendekezwa na UDA-RT la kukusanya nauli ktk mradi wa BRT, pia maxcom ktk mradi huu wao ndo wanamaintain system nzima ya BRT, namaanisha system ya technolojia inayotumika kukata tiketi na kukusanya mapato.

Kuna lingine unataka kujua.

PS: ni UDA-RT sio UDART.
 
Mpaka uingie google ndo uelewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kama mzalendo nimesoma habari ya kinembee kuhusu Maxcom Africa kwa kutumia akili ya kawaida inaonekana wazi mhusika ni mmoja wa wafu waliozoea na muhalalisha kuwa uchumi wa nchi hii unatakiwa kushimwa na wahindi na inapoonekana kuna kampuni ya watanzania inaenda vizuri na kpprove uwezo wao huanzishwa vita ya namna hii.
Usalama wa server ni hoja amayo inamengo la kuwachanganganya wafu wasio na uelewa wa IT na systems. Suala la wafanyakazi na mambo mwngine ni wazi ni mtu aliye tumwa na kampuni za matapeli . Ubora na uzalendo wa katika ulipaji kodi na uwazi ambapo kampuni hii kwa miaka yote imeonhyesha. Tuangalie kampuni katika masuala kama ya kodi na uwajibikaji
 
Mtoa mada Upo Sahihi sana tu,binafsi Nilikuwa na mashine hii ya maxmalipo Nilinunua kwa Rafiki yangu but Nilichotegemea sicho kwanza network ipo chini sana,commision ndogo sana kwa mjasiliamali Mchanga mwisho wa mwezi Unapata elfu kumi au 7,000 Ukitaka kuangalia commission mashine inagoma yaani ujanja tu mpaka Nilipoamua kuuza kidogo Napumua kiukweli inahitajika sana waboreshe Huduma zao siku Nauza mashine yangu Nilishangaa kusikia wafanyakazi wamegoma sababu mshahara hawajalipwa hapo tarehe 15/

Nchi hii inasikitisha sana kwani ndjo nchi pekee duniani wazawa wanapotaka kunyanyuka wanapigwa vita na wafanyabiashara wa kidosii. Maxmalipo kwa muda mrefu wamejuwepi katika mapambano ya mida mrefu na kampuni ya selcom inayomilikiwa na wahindi na watanzania wakitumika kama.vidampa huku baadhi ya watendaji serikalini hasa za nyuma kuwasimamia wahindi
 
Ma
Mimi kama mzalendo nimesoma habari ya kinembee kuhusu Maxcom Africa kwa kutumia akili ya kawaida inaonekana wazi mhusika ni mmoja wa wafu waliozoea na muhalalisha kuwa uchumi wa nchi hii unatakiwa kushimwa na wahindi na inapoonekana kuna kampuni ya watanzania inaenda vizuri na kpprove uwezo wao huanzishwa vita ya namna hii.
Usalama wa server ni hoja amayo inamengo la kuwachanganganya wafu wasio na uelewa wa IT na systems. Suala la wafanyakazi na mambo mwngine ni wazi ni mtu aliye tumwa na kampuni za matapeli . Ubora na uzalendo wa katika ulipaji kodi na uwazi ambapo kampuni hii kwa miaka yote imeonhyesha. Tuangalie kampuni katika masuala kama ya kodi na uwajibikaji
Majibu mepesi kwa hoja nzito.
Mambo ya kodi yanatoka wapi?!
Uwajibikaji haujakidhi vigezo kwenye maeneo nilioainisha, jibu hoja moja moja kwa kuonesha kua ni uongo, na sio kuishia kutetea ni kampun inalipa kodi.
hii sio vita na kampuni, habari ya uongo hua inajibiwa na ukweli, na alioongea uongo anakaa kimya,
hii ni oportunity nzuri kwa kampuni kujipanga upya kwenye maeneo yenye weakness.
tatizo ni kwamba ww unajibu kwa ushabiki wa kutetea, nahis utakua una maslahi,
ila cha msingi ni kutatua izo changamoto.
my wory ni kampun inakua kwa kasi haina mshindani lakini ubora wake sio wa standard (sio ISO Certified) na ni hatari kuoperate inneficient kwakua hauna mshindani.
 
Nchi hii inasikitisha sana kwani ndjo nchi pekee duniani wazawa wanapotaka kunyanyuka wanapigwa vita na wafanyabiashara wa kidosii. Maxmalipo kwa muda mrefu wamejuwepi katika mapambano ya mida mrefu na kampuni ya selcom inayomilikiwa na wahindi na watanzania wakitumika kama.vidampa huku baadhi ya watendaji serikalini hasa za nyuma kuwasimamia wahindi
Nimejifunza kitu manutd geofy.
Issue sio selcom wala kampuni ya mtz.
Huduma zikiwa sio bora utakosa biashara na wateja.
Viwanda vya nguo vya tanzania vilikufa kwakua havikua fanisi, kwenye biashara usipokua fanisi utatolewa kwenye soko.
Hii ni business opportunity kwa watu wenye mtaji kuinvest kwenye hii industry kama maxcom wako rigid hawatak kubadlika (maana nahis wafanya kaz huko)
Changamoto ni part ya biashara, ukikaa kusema kila critisism ni mipango ya jirani (mshindani) utakua unafeli. Maana matatizo yote ni ya mda mrefu, kwa akili fupi unajua tu menejimenti ni mbovu na haipokei mawazo mapya ya mabadiliko na ndio maana mnaishia kulia kua ni biashara ya kizalendo, bidhaa bora kwanza alafu uzalendo badae
 
Maxcom inasemekana ni kampuni ya watu fulani wazito walikuwa ktk utawala uliopita serikalini ndio maana ilikuwa inachukua almost tender zote za malipo za kiserikali na hicho ndio kiliwapa nyodo.

Nchi hii hovyo sn
 
Wewe ni Mnafki
Ma

Majibu mepesi kwa hoja nzito.
Mambo ya kodi yanatoka wapi?!
Uwajibikaji haujakidhi vigezo kwenye maeneo nilioainisha, jibu hoja moja moja kwa kuonesha kua ni uongo, na sio kuishia kutetea ni kampun inalipa kodi.
hii sio vita na kampuni, habari ya uongo hua inajibiwa na ukweli, na alioongea uongo anakaa kimya,
hii ni oportunity nzuri kwa kampuni kujipanga upya kwenye maeneo yenye weakness.
tatizo ni kwamba ww unajibu kwa ushabiki wa kutetea, nahis utakua una maslahi,
ila cha msingi ni kutatua izo changamoto.
my wory ni kampun inakua kwa kasi haina mshindani lakini ubora wake sio wa standard (sio ISO Certified) na ni hatari kuoperate inneficient kwakua hauna mshindani.
ni

Usiwapotoshe wana wa Jamii forum.

Acha unafki. Umetumikamkuwakanganya watanzania. Tanja kampuni 5 tanzania zilizopo kwenye ISO.

Unakosea sana umepoteza uzalendo.

$'ataka nchi hii wafanyabiashara wawe ni wageni au?????
 
Back
Top Bottom