Recent content by fundi mkweli

  1. fundi mkweli

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Nahitaji tecno common x mimi nina note 2 tuvunje
  2. fundi mkweli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Changamoto za ndoa .

    Du big up dada wangu wa nguvu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. fundi mkweli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Changamoto za ndoa .

    Dada vumilia omba mungu atakusaidia.ndoa ina mambo mengi unaweza ona lako kubwa ukakutana na kubwa kuliko hilo la kwako Sent using Jamii Forums mobile app
  4. fundi mkweli

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kumsikia nyoka aitwaye Kifutu?

    Hivi huyu ndio wanaomwita moma? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. fundi mkweli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu haniridhishi ktk tendo la ndoa.

    Dada maisha ya ndoa yana maengi sana unaweza ukaona wewe unateseka na mapenzi lakini kuna mwingine ukiyajua matatizo yake utashangaa na kuona matatizo yako ni madogo.vuta subra na endelea kumuomba mungu.sababu ukichepuka ndio utaongeza matatizo badala ya kupunguza, maana anaemaliza au kulipiza...
  6. fundi mkweli

    JamiiForums Tanzania Wakulima nipeni dawa ya hii kitu

  7. fundi mkweli

    JamiiForums Tanzania Wanaoshangaa Tanzania kuomba Afrika Kusini huenda wakawa hawajui haya

    Kiukweli kwanza ilibidi wao wasisubili mpaka tuwaombe.nchi hii na wao wamechangia kuturudisha nyuma.watupe na si kutukopesha
  8. fundi mkweli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimi ndio nimemuacha ila napata shida, nahisi roho inataka kuchomoka kwa maumivu

    Kaka sikia jambo moja.kupenda sio mchezo kaka.kwa jinsi ilivyo huyo shemeji umempenda sana na hata yeye kakupenda huwezi kuulazimisha moyo ukipenda umependa kaka.malizeni tofauti zenu huyo ndio mwanamke wa maisha yako kaka husipoteze
  9. fundi mkweli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mmezaa watoto watatu leo ndo unagundua mapungufu ya mkeo?

    Baadhi ya wanawake kama samaki maji yakikauka kidogo au yakipungua wanakimbia kwenye maji mengi
  10. fundi mkweli

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike wa kubadilisha mawazo ya maisha nipo moro town naitwa mohamed

    Fundi mkweli
  11. fundi mkweli

    JamiiForums Tanzania Matangazo ya biashara yaliyowahi kuvuma

    King majuto na marehemu sharo hakatwi mtu hapa
  12. fundi mkweli

    JamiiForums Tanzania Yusuf Manji awasili Polisi kituo cha Kati kuitikia wito wa RC Makonda

    Thibitisha mkuu
Back
Top Bottom