man of steel
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 1,099
- 2,356
Miaka mi4 unajiona tayari umevumilia...?Jitahidi usome kwa umakin nilichouliza.nisingekuwa mvumilivuwiki ya kwanza tu ingenishinda ndoa lakin sasa miaka minne
Watu wanaishi ndoa za matatizo milele wewe minne tuu, acha kulialia mama ulifanya mwenyewe makosa ya kuolewa na huyo jamaa jitahidi kumvumilia umbadilishe kuachana utawapa tabu tuu wanao kama unao.
Ndoa za kislaamu nazo zinatabu yake kweli kitu kidogo talaka talaka tuu na hao bakwata baada kutuombea tuepukane na watu wasiojulikana wanasikiliza upambavu huu.
Matapishi tu ya mumeo unalalama, Kuna wanawake waume zao walipatastroke wamepalalaizi wanachamba hadi kinyesi wewe ungeweza kweli...?