Habari za kwenu wakuu
Mwenzenu nina shida hii,ushauri wenu utafaa sana
Kiufupi ni kuwa
Miaka mingi kidogo nikiwa masomoni huko Dar es Salaam nilibahatika kumpata binti mmoja ambaye baada ya muda tulikuwa wapenzi-tulipendana
Nilimzidi mwaka mmoja kimasomo as in kipindi namaliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.