....funguka mzee Baba, mbona kama unambwela mbwela vilee.
Mtaje jina tu , huyo Rais wa Ufilipino una mfananisha na kiongozi gani huku kwetu African *Tanzania*
....Sio Buree hapa Kuna Namna tu.
Hawa TCRA wanajuana na makampuni ya Ving'amuzi naBila Shaka itakuwa kuna fungu la nje ya BOX itakuwa baadhi yao wanamegewa kuzuia hilo tamko lisifanye kazi .
Wanataka kutuaminisha kuwa TCRA wanamgao wao wa nje ya BOX kwenye hizo LOCAL CHANNEL .
Kama sivyo hivyo kwanini wanashindwa kisimamia matamko yao Ipasavyo?
.......Hapa Kuna Namna tu.
CC:- full power
Wanafanya kazi kwa miemko ya Serikali na sio Waislamu.
Ndio maana BAKWATA wanayumba sana kwenye kuongoza Uislamu.
Wanaingiza Dini na Siasa.
NB:- BAKWATA limepoteza muelekeo au Dira kwa Waislamu wotee hapa Tanzania.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.