Hivi north Korea wana jitengezea fedha zao wenyewe?

Drax001

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2017
Posts
454
Reaction score
240
Hivi jamani north Korea hawapo kwenye list ya umoja wa mataifa na wana vikwazo sasa hilo taifa fedha zao wanatengeneza wenyewe au inakuwaje hapo wakuu?
 
Sibiri wanakuja wajuzi wa hizi habari.
mimi mgeni kwenye hill[emoji385][emoji385]
 
Egaritarian sociaty
Classless sociaty

In socialism u can trade with butter system ,goods for goods
If there is hyper inflation

...........
Suala LA pesa kwenye mfumo wa socialism siyo kipaumbele
Mali na rasilimali nyingne zinakuwa mikononi Mwa wananchi

Wafanyakazi wana haki ya kuunda chama cha siasa mfano ni chama cha wafanyakazi north Korea kinachoitwa Rodong kinajihusisha na siasa

Suala LA vikwazo linaweza likachukua muda na wasipate madhara japo likiwa ni LA muda mrefu wanaweza pitia ugumu katika uchumi

Kumbuka kwenye mfumo wao wa socialism wanazalisha wanachohitaji ni si kila kitu kinapatikana Kwa pesa kama nilivyosema hapo mwanzo mfano unaweza ukawa na ngano ukabadilishana na mchele na maisha yakasonga
 
Nimekuelewa sana2 mkuu
 
Back
Top Bottom