Recent content by Fugwe

  1. Fugwe

    JamiiForums Tanzania Historia ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda: Kilio Cha Mifereji ya Damu iendayo Ethiopia

    Huu uhondo usiuachie hapa tafadhali tunahitaji mwendelezo wake. Big up
  2. Fugwe

    JamiiForums Tanzania Kenyatta ateuliwa kuwania Tuzo ya Kiongozi Bora Barani Afrika, Kagame na Magufuli kuwania Mwafrika Bora wa Mwaka

    Unalako jambo si bure. Nyie ndio mifisi dhidi ya nchi yenu
  3. Fugwe

    JamiiForums Tanzania Chamazi Mbagala kuna shida gani kuhusu nyumba?

    Prof Kibogoyo mimi naishi jirani na hizo nyumba, kwa nini nimesema mfuko mmoja wanatoa tofali 80, kinachofanyika pale gari linaposhusha trip ya mchanga wao humwagia cementi kwenye mchanga huo bila kupima idadi ya mifuko ya cementi kulingana na wingi wa mchanga. Kama unaishi maeneo hayo ni pm...
  4. Fugwe

    JamiiForums Tanzania Chamazi Mbagala kuna shida gani kuhusu nyumba?

    Dada yangu huo ndio ukweli na ukweli utatuweka huru. Mamlaka zinazohusika na ukaguzi wa majengo wamelala usingizi wa pono. Kuhusu maafa, eneo la mbagala na viunga vyake ikiwemo Chamazi ni maeneo yenye ardhi ya mchanga hata mvua inyesheje Dsm hii kamwe hutosikia mafuriko mbagala wala nyumba...
  5. Fugwe

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2018 ni mchungu kwa vigogo 18 waliotajwa kamati za madini

    Eti Valentino Mlowola ni Mkurugenzi wa PCCB, rudi tena ukajipange na story yako
  6. Fugwe

    JamiiForums Tanzania Kidini Israel na Trump wapo sahihi, kisheria Wapalestina wapo sahihi

    Mimi ni mkristo hako kaswali kako ni kazuri wajibu tu
  7. Fugwe

    JamiiForums Tanzania Chamazi Mbagala kuna shida gani kuhusu nyumba?

    Chamazi hakuna tatizo la bomoa bomoa LAKINI nyumba zinazouzwa ni za wale JENGA UZA. Nakutahadhalisha, bei ni ndogo kwa sababu zifuatazo: (1) Msingi wa nyumba ni tofali 3 (2) vyumba havichimbwi msingi (3) mfuko mmoja wa sementi tofali 70 mpaka 80 (4) wanakoleza sana rangi lakini baada ya miezi 4...
  8. Fugwe

    JamiiForums Tanzania Msaidieni kaka yangu ndoa inavunjika, hawezi kwenda round zaidi ya moja

    You're right my dear
  9. Fugwe

    JamiiForums Tanzania Wamisri wa kale walikuwa weusi(Africans)

    Kudos kaka Kudos Bro unazidi kuongeza thamani kwa hazina niliyoanza kuikusanya
  10. Fugwe

    JamiiForums Tanzania Wamisri wa kale walikuwa weusi(Africans)

    Bro bahati mbaya kwa makanisa yetu ya leo ni kwamba Maaskofu wa Makanisa haya wengi wao wakiwemo wachungaji na mashemasi ni wale ambao maisha ya kawaida yamewashinda kasha wanatafuta fursa kupitia dini. Kuna utitiri wa vibanda vya makanisa kila baada ya mita 300 kuna kanisa. Wengi wao ni...
  11. Fugwe

    JamiiForums Tanzania Wamisri wa kale walikuwa weusi(Africans)

    Pia ni nani aliyetoa jina Africa??? Ni nani aliyetuita Waafrika??? Hapa kuna conspiracy kuficha historia ya mtu mweusi. Binafsi naamini na nitaendelea kuamini kwamba Waisrael wa leo sio wale waliotajwa kwenye Biblia na kwamba Binadamu wa kwanza aliishi Afrika na kama ndivyo hivyo Adam na Hawa...
  12. Fugwe

    JamiiForums Tanzania Donald Trump: Marekani tunautambua mji wa Jerusalem kama makao makuu ya Israel

    Mkuu hapa ni hoja na ushahidi, nakuonyesha kwenye Biblia soma Ufunuo sura 3 mstari wa 9. kama hutatosheka sema nitakuongezea dozi nyingine
  13. Fugwe

    JamiiForums Tanzania Donald Trump: Marekani tunautambua mji wa Jerusalem kama makao makuu ya Israel

    Nyosha ulizo lako kaka nikuelewe
  14. Fugwe

    JamiiForums Tanzania Donald Trump: Marekani tunautambua mji wa Jerusalem kama makao makuu ya Israel

    Ndugu yangu, you're very wrong. Mimi ni mkristo, niseme Hakuna Mungu wa wakristo peke yao wala Mungu wa waislam peke yao wala Mungu wa wayahudi peke yao. Mungu ni wa wote. Jerusalemu sio mji wa wakristo bandika ushahidi wa biblia hapa yaani unakoelekea unataka kutuaminisha pia kwamba Yesu...
Back
Top Bottom