Donald Trump: Marekani tunautambua mji wa Jerusalem kama makao makuu ya Israel

Hivi wayahud ni wakristo?
Wayahudi kama zilivyojamii(race)zingine wana mchanganyiko kidogo.asilimia kubwa ni waumini wa dini ya kiyahudi dini yao ya jadi .wakristo hawazid 5%.la kufaham hapa ni kwamba dini ya kikristo inajengwa kwenye misingi ya dini ya kiyahudi.vitabu vyote vilivyo ndani ya bibilia karibu waandishi wengi ni wayahud.toka agano la kale mpaka jipya.dini ya kiyahud na kikristo ni ndungu ,kwan ukristo umezaliwa kutoka dini hiyo.wao wanatumia sehem kubwa ya vitabu vya agano la kale wakat ukristo umeongezea vitabu vya agano jipya
 
Nadhani hata maras tafari wanaamini Jerusalemu ni mji wao mtakatifu
Lakini tujiulize, historia wakati wa Mfalme, Sulemani hata wakati wa Yesu kristo bado Jerusalem ulikuwa mji wa Wayahudi. Na Wapalestina walikuja kuumili mji huo baada ya Israel kutawanyika na kwenda ujerumani na baadae Us wakati wa WW2. sasa wenyewe wamerudi lazima Palestina wapishe kama jinsi Ishmael alivyofukuzwa pamoja na mama yake ili asije akarithi pamoja na mtoto wa ahadi Isaka. Huo ni ulithi wa Isaka, Yakobo(Israel) na hata sasa wana wa Israel yaani Wayahudi. Wasijisahau hao wana wa wanadamu watapata shida maana hawagombani na Israel bali wanagombana na mpango wa Mungu mwenyezi.
 
EU rejects recognising of al-Quds as Israeli capital
Mon Dec 11, 2017 11:52:32

European Union foreign policy chief Federica Mogherini is meeting with Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu to address the issues of al-Quds as Israel's capital and the chances of reinvigorating negotiations on the peace process.

(AP) -- Mogherini has joined many EU leaders in expressing disapproval of the U.S. decision to recognize al-Quds as Israel's capital. She said during a joint media address Monday that "the only realistic solution to the conflict between Israel and Palestine is based on two states with Jerusalem (al-Quds) as the capital of both."

Netanyahu insisted that what U.S. President Donald Trump did was "put facts squarely on the table. Peace is based on reality."

He said the reality of seeing al-Quds as Israel's capital "doesn't obviate peace, it makes peace possible."

(Photo: European Union High Representative Federica Mogherini, right, and Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu address a media conference at the EU Council building in Brussels on Monday, Dec. 11 2017
 
Lakini tujiulize, historia wakati wa Mfalme, Sulemani hata wakati wa Yesu kristo bado Jerusalem ulikuwa mji wa Wayahudi. Na Wapalestina walikuja kuumili mji huo baada ya Israel kutawanyika na kwenda ujerumani na baadae Us wakati wa WW2. sasa wenyewe wamerudi lazima Palestina wapishe kama jinsi Ishmael alivyofukuzwa pamoja na mama yake ili asije akarithi pamoja na mtoto wa ahadi Isaka. Huo ni ulithi wa Isaka, Yakobo(Israel) na hata sasa wana wa Israel yaani Wayahudi. Wasijisahau hao wana wa wanadamu watapata shida maana hawagombani na Israel bali wanagombana na mpango wa Mungu mwenyezi.
WW2 ndo Israel walirudi kwao(1948) baada ya kuwa nje ya taifa lao toka mwaka wa 70 baada ya Yesu
 
WW2 ndo Israel walirudi kwao(1948) baada ya kuwa nje ya taifa lao toka mwaka wa 70 baada ya Yesu
Sasa wenye mji wamerudi itabidi Palestina wapishe. Pia kumbuka vita vya pili vya dunia vilianza 1939-1948. Hivyo mwishoni mwa vita hivyo ndo walirudishwa kwao hilo halina ubishi.
 
Hoja zako zimejaa uongo na ulaghai, nianyeshe ni wapi Biblia inasema wengi watajitokeza wakijiita wayahudi! Pili Biblia inasema wayahudi watarudi eneo lao la ahadi lakini haisemi watarudi kwa njia gani.
Mkuu hapa ni hoja na ushahidi, nakuonyesha kwenye Biblia soma Ufunuo sura 3 mstari wa 9. kama hutatosheka sema nitakuongezea dozi nyingine
 
Israeli forces arrest more Palestinian children in occupied West Bank Wednesday Dec 13. 12.2017
Haya ndoo aliyokuwa akitaka trump na mr Bibi sio ?
 
Attachments

  • VID_20171213_215309_795.mp4
    7 MB · Views: 32
Habari wakuu nijambo la kushangaza tena na kustaajabu yani kauli ya Rais wa Marekani rafiki yangu Trump kusema anaitambua Jerusalem Kama mji mkuu wa Israel basi mataifa yote ya kiislam na mengine mengi makubwa na madogo yanahaha usiku na mchana kumlaumu Trump ikiwemo na Tz sasa kwani nyie mkisema hamuitambui Jerusalem kama mji wa kiyahudi si inatosha mbona mnalalamika hadi maandamono kisa USA amesema anaitambua inaonyesha ni jinsi gani mmarekani anaitikisa dunia Mimi binafs namuunga mkono bwana Trump kinachofuata nikuhamia Jerusalem ili watu wajinyonge zaidi na bado mtanyoka
 
NAUKUBALI SANA MSIMAMO WA TRUMP.JAMANI ANAJUA KUSIMAMIA ANACHOKIAMINI BILA WOGA
 
mkuu hujanielewa vizuri comment zangu zote zinapinga hawa wanaoshabikia israel wakati ni wazi kabisa mbele za Mungu hakuna uteule kati ya misrael au mtanzania
Mungu alimchagua ibrahim atoke katikati ya ndg zake kisha akambariki yeye na uzao wake wote tena akasema nitakufanya kuwa taifa.
Swali.
Ndg zake Ibrahim ni viumbe wa Mungu kwanini Mung alimchagua ibrahim peke yke tena akambariki?
Mungu akambariki ibrahim pamoja na kizazi chake, kizazi cha ibrahim ni akina nani?
 
Back
Top Bottom