Umefafanua vizuri sana lakini, mwenye mamlaka ni rais anatakiwa aliangalie na alifanyie kazi, kwa kiwafikisha watu katika ngazi husika kwani tume zilishaundwa na report zipo.
Mitandao yasimu ishushe gharama za vifurushi kwan kifurush cha jero itakuwa ngumu kujiunga ukiweka jero unless uweke buku.... jaman ( 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9) mi nshazisoma number zangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.