Nani Mmiliki wa AVIC Town Kigamboni

Nani Mmiliki wa AVIC Town Kigamboni

Siku hizi za karibuni?
Avic town ya mda sana
Kama ulikuwa huijui wewe tu..
Watu wakishauziwa nyumba utakuja kuuliza Nani anamiliki?Inamiliki na walionunua nyumba..
Au ulitaka kujua kampuni iliyojenga na kuuza?
Naomba ufafanuzi mkuu
 
Aliyebuni huu mradi wa nyumba nampongeza sana,inabidi tuwe na neighborhood kama hizi kila mkoa
 
Siku hizi za karibuni?

Avic town ya mda sana

Kama ulikuwa huijui wewe tu.

Watu wakishauziwa nyumba utakuja kuuliza Nani anamiliki?Inamiliki na walionunua nyumba.

Au ulitaka kujua kampuni iliyojenga na kuuza?
Yaani ipo tangu 2014 leo watu wanashangaa
 
Wanajamvi kwa siku za hivi karibuni nimesikia watu wengi wakiiongelea sana hii project AVIC TOWN, Nimeisikia project hii hasa baada ya timu ya Yanga kuweka kambi huko kwa ajili ya maandalizi ya michezo ya ligi.

Wanasema uwekezaji uliwekwa hapo si wa kimchezo mchezo, ni mji wa kisasa haswa kuna kila kitu kuanzia maduka, hoteli, appartment, viwanja vya michezo pia kuna kituo cha polisi kwa ajili ya ulinzi nk.

Pia nimesikia hawa jamaa ndiyo wamiliki wa Sea view na Osysterbay appartments.

Kesho waandishi wa habari wamealikwa kwenye Yanga Digital Day kwenye viunga hivyo.

Nani wamiliki wa hizi project?


View attachment 1691728View attachment 1691726
It's a Chinese establishment

See more here AVIC TOWN
 
Huu mradi una system wa hire purchase?
Property nyingi zina hizo category za tenant option to purchase.

Kama unataka kujilipuwa possibly, Magufuli ndiye aliyehujumu Kigamboni, mtu mjanja muda wa kusettle Kigamboni ni huu kabla bei za plot na property hazijashoot.

Miaka mitano ijayo Kigamboni kutanoga zaidi, nimetembelea site yangu mji mwema leo watu wanashindana kujenga maghorofa na Contemporary house.
 
ukitaka kujua ujinga wa mtanzania angalia kwenye mitandao mfano mtu kauliza NANI MMILIKI WA AVIC TOWN, badala ya kuja na jibu ilioulizwa unajibu vitu vya ajabu ajabu na vingine haviko kwenye mtoa mada, huu ni ujinga sana mitandao yote si fb jf insta na zote watanzania hawajibu hoja kabisa ni kutukana au kusema una wivu au kujibu hoja haipo kwenye mada
 
Back
Top Bottom