Wala kitimoto tahadhari: It's not a tumor, It's a brain worm

Wala kitimoto tahadhari: It's not a tumor, It's a brain worm

Sawa naona biblia ya kabila lenu imekuruhusu kula nguruwe.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kwahyo kwako Biblia na Quran ndo vitabu pekee vya kuongoza ? Si ni vile vya makaratasi au magamba ya miti ndo vilimoandikwa tena kwa herufi na silabi zilizotungwa na binadamu au ulimanisha ipi ? Mungu wako yiko limited na maandishi tena ya lugha ya wanadamu tu !! Mi muongozo wangu toka kwa Mungu wangu tena ndiye wa Ukweli uko spiritual, hata nyoka, swala,miti,na mawe wanavisoma. Mungu wangu hayuko limited na ubinadamu ktk lolote lile liwe la mji, lugha wala race, huyo ndo Mungu wa viumbe vyote. Sihtaji mm Quran ya Muhammad au Bible ya Jesus nimjue YEYE, nyoka asiyeijua lugha ya wanadamu anamjua sembuse mm, kaa hukohuko ukipenda ila nakuonea huruma kwa upotevu wako, naamini hivyo na iwe hivyo.
 
Wanapoambiwa msile nguruwe ni haramu, hata biblia imeandika hivyo, wao wamo tu.
nguruwe anavyoliwa bongo ni tofauti na anavyoliwa ulaya. hata ng'ombe anavyoliwa hapa ni tofauti na wanavyokula wenzetu. hao wenzetu wanakula nyamba mbichi isiyoiva, nyingine utakuta hadi damudamu bado ipo.ila kwa hapa nguruwe huchomwa kwenye mafuta kwa muda mrefu sana hadi inasinyaa kabisa, ndio inaliwa. ulaya hakuna sehemu wanachoma nyama muda mrefu hivyo. the same applies kwa ng'ombe pamoja na kwamba unaweza kuomba wakaushe, lakini majority wanakula mbichimbichi. ndo maana hayo madudu africa huwei kuyapata. ndugu zako wengi tu wanakula huyo mdudu na wanajua utamu wake.
 
Hakuna kitu cha kijinga km kufuatisha kila kitu cha dini
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Tena bila hata kujiuliza kwann waliamua kufanya hivyo kwa wakati ule, Hizi dini mbili zote zilishamuona mwenye ukoma kuwa ni najisi katika unajisi wake zamani hizo, Je leo ilete mantiki ? Watu wanashindwa kutofautisha Ujumbe wa kiungu na wa kibinadamu tena nao ni wa vipindi husika tu.
 
Ni vizuri ukamuuliza aliyeandika biblia.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
hapa sipo na alieandika Biblia....nipo na wewe mfia dini
 
Wanasanyansi waendelee kuchunguza zaidi. Ingekuwa ni kweli hiyo kitu basi nchi kama China wangepunguza matumizi ya hiyo nyama na hata huku kwetu pia.

Binafsi bado sijaamini ila kukija na evidence za kutosha nitaamini.
Hiyo story ni hoax, kinachokaa kwenye ubongo in the event of this zoonose ni cystic form na siyo worm
 
Mnao tetea hii kitu wengi wenu ndio wauzaji cha msingi mnatakiwa kuiandaa iyo nyama vizuri ili kuepusha maradhi ya aina hiyo yasitokee
 
huyo mtumiaji atakuwa amerogwa,kwa imani ktk Kristo Yesu nitaitwangwa kitimoto na haitaleta madhara yeyote.
 
Nakula kitimoto sasa hivi hapa...

What all matters is hygiene.. pika vizuri chakula chochote kwa usafi haswa..

Tatizo sio kitimoto, tatizo ni usafi na chakula kiive vema..
Nguruwe ana minyoo ambao hawafi kwa moto wa kawaida. Yaani ili waweze kufa inabidi hiyo nyama ipikwe kwa moto mkali na kwa kasi ile ile kwa muda wa masaa 24. Hii ina maana kwamba,unawasha jiko la umeme au gesi una-balance moto,unatenga hiyo kitimoto yako kuanzia asubuhi saa 1 mpaka kesho saa 1 asubuhi. Madhara yake huwezi kuyaona leo na hata ukija kuugua baada ya miaka hata 20,hutajua km ni kutokana na kula nguruwe.
 
Acheni kuwatisha watu., kitimoto kama alivyo mombe tu. Toka nianze kumla naweza kuwa nishakula vitimoto kama 50 hivi peke yangu na ni zaidi ya miaka 20 na ninadunda kama kawa. Upikaji tu.
 
Mtua,chie tamu yetu ende lekeen kula,mzoga ya bg"ombe lioza
 
Nguruwe ana minyoo ambao hawafi kwa moto wa kawaida. Yaani ili waweze kufa inabidi hiyo nyama ipikwe kwa moto mkali na kwa kasi ile ile kwa muda wa masaa 24. Hii ina maana kwamba,unawasha jiko la umeme au gesi una-balance moto,unatenga hiyo kitimoto yako kuanzia asubuhi saa 1 mpaka kesho saa 1 asubuhi. Madhara yake huwezi kuyaona leo na hata ukija kuugua baada ya miaka hata 20,hutajua km ni kutokana na kula nguruwe.

acha uongo wee... Taenia solium wanakufa kwa kupikwa vizuri tu, it seems hata maelezo hayo hapo ktk ABC news hukusoma na kuelewa, usiseme uongo hapa, ukipika kawaida na nyama kuiva, wanakufa kabisa..

Pia, dose ya Praziquantel 60mg/kg, inatibu kabisa minyoo yote, aina yote, hadi minyoo wa kichocho/bilharzia inatibu..

So ni kuwahi dose tu mapema..!! Praziquantel ni dawa kali sana kuua minyoo wa aina yoyote sugu..!! wanakufa na kusagika kabisa
 
Nguruwe ana minyoo ambao hawafi kwa moto wa kawaida. Yaani ili waweze kufa inabidi hiyo nyama ipikwe kwa moto mkali na kwa kasi ile ile kwa muda wa masaa 24. Hii ina maana kwamba,unawasha jiko la umeme au gesi una-balance moto,unatenga hiyo kitimoto yako kuanzia asubuhi saa 1 mpaka kesho saa 1 asubuhi. Madhara yake huwezi kuyaona leo na hata ukija kuugua baada ya miaka hata 20,hutajua km ni kutokana na kula nguruwe.
Mkuu,
Mbona unaweka vitisho vikali kiasi hicho!
Kilakitu kinafaida na hasara zake, Muhimu kufaata kanuni na taratibu-Mapishi..

TEHE tehe!
Weita lete kilomoja na Lusekelo + kitwanga mbili.
 
Wanapoambiwa msile nguruwe ni haramu, hata biblia imeandika hivyo, wao wamo tu.
Hivi kwa akili hata za kuvukia barabara tu, unaweza kuamini kua unaweza kuwa na mnyoo unao kula ubongo wako alafu ukaishi hata nusu siku!?
Kwanini mnapenda kutumia uongo kwenye hizi zama bana? Its too good kuwa wakristo wengi wanafahamu nini maana ya Al taqiya.
 
Back
Top Bottom