Recent content by Fuchufuchu

  1. Fuchufuchu

    Dk. Mwele Ntuli Malecela kuachishwa kazi.

    Mi naona kinachotia shaka ni kufuatwa kwa utaratibu wa kutoa matamko/matangazo kutoka kwa taasisi za umma kwenda kwa umma, hususan kwny suala sensitive kama hilo la afya ya rasilimali watu ya Taifa… Ukitaka kujua nini kilitakiwa kufanywa…nenda uka-review matangaz ya serikal kwenda kwa umma...
  2. Fuchufuchu

    Dk. Mwele Ntuli Malecela kuachishwa kazi.

    Ulichokipata kutoka kwenye thread ni kidogo sana kuliko kilichokusudiwa ukipate… Direct impact ya matamko au matangazo ya wizara ya elimu, BoT, au hata hyo NBS unailinganisha vp na na impact ya matangazo ya Magonjwa ya mlipuko yanayolikumba Taifa???!…
  3. Fuchufuchu

    NAOMBA MSAADA KWA MWENYE KUIJUA VIZURI hp ProBook 4446s

    Asante ndugu! Nadhani kutokea hapo ntajua pakuanzia…japo bado nna long way to go for a solution!
  4. Fuchufuchu

    NAOMBA MSAADA KWA MWENYE KUIJUA VIZURI hp ProBook 4446s

    Asante mkuu! Lakin kuhusu kuirudisha, naona inaweza ikawa taabu kdogo mana jamaa mwenyew alieniuzia nilikorofishana nae kwa7bu ya hiyo PC…nilimpa pesa nusu ili nikishaitumia hii PC na kujua whether ni nzima au inashida ndipo tumalizane; au arudshe pesa…after three days charger yke ikawa...
  5. Fuchufuchu

    NAOMBA MSAADA KWA MWENYE KUIJUA VIZURI hp ProBook 4446s

    Habar zenu wakuu…! Mi nimgeni kwny hili jukwaa, so naomba mnikaribishe! Nilinunua kompyuta mpakato wiki tatu zilizopita ikiwa ni second hand. Ni "hp ProBook 4446s". Tatizo lnalonisumbua ni 1. Kutokukaa na charge(naamini tatizo linaweza kua ni Battery lake so naweza kuli-solve) 2. Nikiwa...
  6. Fuchufuchu

    Wema Sepetu aliwa Denda Movie Mpya

    Kuna baadh ya movies za Hollywood scene zinazohusu kugegeduana basi wanagegeduana kweli! #It is all about uhalisia, sometimes....japokua hollywood si BongoMovie!... By the way, nowadays pornography is all around us!
  7. Fuchufuchu

    UTAFITI: Uingereza yaongoza kwa uume mdogo Ulaya

    Hiyo nliisikia... Alafu na BBC-Dira ya dunia walikua wana makala yao moja, ilirushwa mwaka 2014, ilikua inamuhoji mzee mmoja huko Kigoma... huyo mzee akawa anazungumzia ishu ya mti mmoja unaitwa MLIMOLA, ambao, kwa mujibu wa huyo mzee ulikua ni kinga kwa wezi wa mazao shambani, wachawi...
  8. Fuchufuchu

    Serikali (TAKUKURU) yakamata Tani 4,900 za Sukari iliyofichwa Mbagala na Tabata jijini Dar

    Inashangaza sana sasa upinzani wamegeuka na kuanza kusupport/kutetea wahujumu uchumi na mafisadi. Very strange!!!! Sasaivi wanabeza na kuponda kila hatua za serikali, hata kama hatua hizo zina-respond to public interest. Very strange!! On political lane, bado kuna tatizo moja ambalo binafsi...
  9. Fuchufuchu

    Serikali (TAKUKURU) yakamata Tani 4,900 za Sukari iliyofichwa Mbagala na Tabata jijini Dar

    Hta hiyo migogoro unayoficha kuisema ikisuluhishwa, bado kutakua na shida! Wakulima watalima miwa, sugar itazalishwa, mwekezaji/muhindi ataendelea kuichukua sugar na kuiweka kwny godowns zake... Kuna contractual arrangement zinazo-guide the whole issue!
  10. Fuchufuchu

    Serikali (TAKUKURU) yakamata Tani 4,900 za Sukari iliyofichwa Mbagala na Tabata jijini Dar

    Ni kwa mujibu wa hiv vifungu hapa... Ukipuuza kuvitekeleza huo utakua ni upuuzaji wa taratibu na sheria tulizojiwekea... So ni sawa tu...
  11. Fuchufuchu

    Jibu la swali hili litaokoa tafsiri ya malengo yako katika maisha

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] kusali is not something illigal..
  12. Fuchufuchu

    Jibu la swali hili litaokoa tafsiri ya malengo yako katika maisha

    Salam wakuu! Naomba niwasilishe kwa lugha ya kigeni. Kwa dhamira ya kuleta mantiki niliyoikusudia: If everything was legal in this world for 12hrs. What would you do to change your life forever?
  13. Fuchufuchu

    No head no game

    Mmmmh! Mi mtanikuta kweny ndoa... Ila kwa akil hizi za ujana nlizonazo sasa, cjawah kufikiria kumuendekeza m/mke! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
  14. Fuchufuchu

    Kuwa na uume mkubwa kuna tija katika mapenzi

    Mmmmh! 7 inches ikiwa flaccid au full length mkuu?! [emoji4] na hiyo double standard ni according to who???...
  15. Fuchufuchu

    Aliondoka sasa ni miezi miwili

    Asante mkuu! Nilisham-disqualify huyu jamaa!
Back
Top Bottom