Jibu la swali hili litaokoa tafsiri ya malengo yako katika maisha

Fuchufuchu

Member
Mar 14, 2016
21
7
Salam wakuu!

Naomba niwasilishe kwa lugha ya kigeni.

Kwa dhamira ya kuleta mantiki niliyoikusudia:

If everything was legal in this world for 12hrs. What would you do to change your life forever?
 
i might go rob bill gates, amancio ortega, warren, carlos slim, jeff, zuckerberg, larry, bloomberg, charles, david, liliane mpaka nimfikie mengi... then nitaitwa centrillionea
 
Mi naandika kiswahili jamani mtanisamehe bure na uzungu wenu, ningeenda CRDB ningefanya yangu ndani ya masaa kadhaa.
 
Mm ningelala hayo masaa 12 then ningeamka baada ya huo muda kwisha na niendelee na maisha yangu ya mission time kwani naamini rizki yangu ni ileile sihitaji ya kufanya illegalll ili nipate utajiri
 
Back
Top Bottom