Recent content by Frum

  1. F

    Mimi nipo kimara baruti kunasikika mlipuko mara 3 sas

    Haina shaka hiyo ingelifutiwa na king'ora vya FFU na entire police kama ingalikuwa ni jambo LA hatari! Ila yawezekana kuwa magurudumu ya gari kama yamezidiwa pressure ya uzito au ujazo wa upepo! Be safe no worry!
  2. F

    Vazi la Makonda lazua mjadala hapa Moshi

    Makonda amelewa cheo alicho nacho kwamba anaweza kufanya madudu na mtu yeyote asimwambie kitu! Kwa cheo chake hicho unavaaje kihuni kabisa sehemu ya heshima kama pale penyeViongozi mbalimbali ngazi za juu akiwemo boss wake Waziri Mkuu wa Nchi, this is crazy!! Hii nidharau kubwa kwa msiba wa...
  3. F

    TCRA: Tumefika mahala kila mtuhumiwa wa ushahidi wa video atasema video imetengenezwa!

    Mange Kamambi yeye kadai ni kweli ila alitegeshewa huyo mwanamke kumtumia kisiasa ili ku-pin down Askofu huyo kwa 2020!
  4. F

    Tanzia: Paul Chizi afariki Dunia.

    Apumzike kwa amani
Back
Top Bottom