Vazi la Makonda lazua mjadala hapa Moshi

Wewe unashinda chumbani kwako na boksa au unashinda na jeans chumbani kama makonda?

Yaani ukos siriaz unatoa mfano wa jeans kufananisha na boksa mdogo wangu rikiboy?

Jeans haifai kuvaa msibani na kanisani tu ila sehemu zingine inafaa au jeans(kama ya makonda)haifai kuvaliwa popote pale katika jamii kwa uono wako waonaje?
Kwa maoni yangu jeans inafaa kuswaliaaa
 
Makonda amelewa cheo alicho nacho kwamba anaweza kufanya madudu na mtu yeyote asimwambie kitu! Kwa cheo chake hicho unavaaje kihuni kabisa sehemu ya heshima kama pale penyeViongozi mbalimbali ngazi za juu akiwemo boss wake Waziri Mkuu wa Nchi, this is crazy!! Hii nidharau kubwa kwa msiba wa Mengi, Watu wa Kilimanjaro na wafiwa wote Hivi vyeo viingine Rais aache kuwapa watoto/vijana mno! Makonda amejidhihirisha tabia aliyo na, ni mhuni!
 
Nimekwambia kiongozi, unajua maana ya " kiongozi"?
Kwani kiongozi asivae jeans na wewe uvae jeans inakuwa wewe inavaa humuogopi nani na huyo kiongozi anavaa kumuogopa nani au kwa kuhofia nini mpaka ifae kwa mtu wa kawaida na kwa kiongozi isifae mkuu?
 
Nakuheshimu sana Mdau ila kwa hili hauna hoja ya kumlaumu makonda bali naona ni hamasa tu za kiushabiki humu ndani.
Nimuheshimu vipi mtu asiejiheshimu??? Huwezi kuvaa ile pedo ukaingia nayo Kanisanii... Wewe kama imekuuma wewe vaa kesho ingia nayo msikitini ili umuunge mkono mtu mpuuzi kama yule
 
Nimuheshimu vipi mtu asiejiheshimu??? Huwezi kuvaa ile pedo ukaingia nayo Kanisanii... Wewe kama imekuuma wewe vaa kesho ingia nayo msikitini ili umuunge mkono mtu mpuuzi kama yule
Kwa hiyo nje ya kanisa inafaa tu hamna shida?
 
Kwa hiyo nje ya kanisa inafaa tu hamna shida?
Kanisa lina miiko na ni sehemu takatifu so panahitaji kuheshimiwa... Yale sio mavazi ya heshima hasa kwa mtu kama Makonda kuingia nayo kanisani...!! Hata ofisini vile huruhusiwi kuvaa jeans na vitobo magotini what a shame... Huko nje ya kanisa ni maisha yake na taratibu zake mwenyewe me hayanihusu ila kuhusu kanisa hapana ataambiwa ukweli tu akavalie huko msikitini mnakoruhusu
 
Makonda bado ni kijana acha avae
Leo Mkuu wa Mkoa wa Dar ameingia ibadani katika kanisa kuu la KKKT hapa Moshi akiwa amevaa Suruali iliyozua minong'ono kuwa ya KIHUNI.

Baadhi ya Waumini waliopo hapa Ibadani wamesikika wakiuliza je angekufa babake angekwenda na vazi kama hilo?

Wengine walisikika wakisema vazi hilo hata katika mavazi yanayotakiwa kwenye Ofisi za Umma hayatakiwi iweje avae kanisani?

Waumini wengi wamesikika wakihoji kiwango cha nidhamu alichoonyesha Mkuu huyu kupitia vazi lake.View attachment 1092613
 
Dogo acha ushamba kila sehemu ina protocol ya mavazi ulazimishwi ila ukiwa zero brain ufikirii unavaa tu unavyotaka.
Kinachohalalisha pale asivae ni kipi?
Na kinachohahalisha siku zingine zisizokuwa za msiba na watu weng]ne wasiokuwa yeye wavae ni kipi?
 
Kwenye code of dressing kuna mavazi yamekatazwa kwa viongozi wa umma kuvaa.nenda kasome standing order ya utumishi wa umma. Ukiendelea kubisha sikujibu maana utakuwa mjinga.
Kwani kiongozi asivae jeans na wewe uvae jeans inakuwa wewe inavaa humuogopi nani na huyo kiongozi anavaa kumuogopa nani au kwa kuhofia nini mpaka ifae kwa mtu wa kawaida na kwa kiongozi isifae mkuu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom