Tanzania Broadcasting Corporation (TBC1) ndo mpango mzima. Sisi wa azam tuko na tbc yetu hatuna shida na siku hz tumepata uelewa wa kutosha kuhusu vipindi vyake k.v This week in Perspective, Tafakuri baada ya habari, Tunatekeleza, Technohama, Habari TBC, Mahusiano, Malikale, Zilipendwa...