Wahitimu wengi wa UDSM mna dharau na kujisikia sana lakini mna Maisha magumu

Mwalimu Nyerere alisisitiza umuhimu wa elimu ya ufundi, na ubaya wa waliosoma elimu za nadharia/ darasani sana kujiona wao zaidi.

Huwezi kukuza uchumi wa nchi bila shughuli zinazohitaji mizigo kupakiwa na kupakuliwa zinazohusisha vitu kama haya ma crane.
 
Hii imetokea this week kuna shoga yangu mmoja nlisoma nae jangwani girls 2007 mimi sikufanikiwa kuendelea na Advanve mean nilifeli f~4 yeye akaendelea hadi chuo, UDSM

mimi baada ya kumaliza Olevel nikaenda kusomea course fupi fupi tofauti za mashine Opreratots, pale Bandari college nkasomea, Fork lift operator,Richstracker operator, na SSG Operator then baada ya hapo kuna ndugu yangu akaniconect na chuo kimoja kipo South Africa nkaenda kusomea Crane operator, then baada ya hapo nkala shavu kampuni moja ya wazungu hapa tz kama crane operator

Sasa huyu shoga yangu last week akanikuta site moja hivi nlikuwa nashusha heavy equipments, yeye alikuja kama mkaguzi yeye ameajiriwa Goverment, baada ya kuniona akacheka kinafki alafu kilichoniskitisha ni pale aliponiambia kuwa shoga yangu laiti ungesoma usingekuwa unateseka na michuma mda huu

Ikanibidi nicheke kwanza nikajiuliza huyu mtu amepata wapi huo ujasiri maana yeye ana bachelor na mimi nna vyeti vya kawaida tu, lakini hata mshahara wangu sijui kama ananipita maana mimi naoperate Crane ya 90tons (90,000kg)
View attachment 846107

Na basic salary yangu ya kuoperate hii crane ni 2.8 million/month hapo bado overtime na nyongeza nyingine lazima niondoke na 3.0m hadi 3.5m kwa mwezi na nna mkataba wa kudumu kabisa

Sasa huyu shogaangu sijui analipwa sh ngapi hadi kunizarau vile... Tu imagine analipwa

1.5million.. Toa HELSB+PAYE+NSSF+NHIF =take home 800,000
then ananznizarau mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kawaida yao,ww angalia hata wale walioteuliwa na mkuu wa kaya walio soma UDSM ni malingo,kujivuna,dharau na mikwara kibao,kiutendaji hovyoooo....!! Tunawaona hukuitaani...!! Ukikaa na graduates wa SUA,UDSM na MZUMBE, wa UDSM utamjua tu maana dharau nyingi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe na yeye mmekua kitu kimoja coz naona dalili za kutambiana mishahara. Yeye alikwambia wazi na ww ulitakiwa umjibu hapohapo kama sehemu ya kumuelewesha. All in all hilo li mashine (crane) kulioperate siyo mchezo naona huyo mzungu anatakiwa aongeze salary zaidi maana kwa sehemu nyingine waendeshaji wa cranes wanapiga mpunga zaidi ya huo wako.
 
Hanikuti hata kwa dawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ifike maali msiwe mnaleta zarau na vibachelor vyenu mbele ya watu msiowafaham au kuwachunguza vizuri mishe zao, mtakuja kuaibika, umeajiriwa serkalni na bachelor yako unalipwa 1.5 million, PAYE+NSSF+HELSB+NHIF... TAKE HOME UNABAKIA NA 800K laki nane tu alafu unajiita msomi then unamcheka usiyemjua loo

Mkuu kwa ajira za serikalini hizi tia majitia maji huo mshahara ni mkubwa mnoooooooooooooo tena Digriii afu mkaguzi tu

Labdaaanzie hio 800k then wakate abaki na 500k..
 
Back
Top Bottom