Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 88,419
- 154,811
Hapo ndipo utakapoona uongo wa hizi habari.Mapanga yakamwingia mwilini nguli wa uchawi Tanzania na Afrika mashariki kweli? Mapanga? auawe kwa mapanga???

Hadithi hii inatufundisha nin mkuu ?Kuanzia katikati ya miaka ya sitini hadi mwishoni mwa miaka ya tisini katika mji Mwanza aliishi kigagula mmoja ambae alijulikana kwa jina la Bibi Fisi.
Bibi Fisi alikuwa mchawi hatari sana ambae sifa zake zilitikisa mkoa wote wa Mwanza na.mikoa jirani ya kanda ya ziwa..
Kigagula huyu inasemekana alikuwa na nguvu kubwa sana za kichawi na inasemekana kuwa alikuwa mmoja kati ya wachawi waliokuwa katika ranks za juu kabisa katika ufalme wa kichawi wenye makao yake makuu katika mkoa wa Shinyanga ( now Bariadi) katika eneo ambalo linajulikana kama Gamboshi ( ile isiyo onekana )
Pia inadaiwa kwa nguvu na uwezo wake mkubwa katika fani ya uchawi hakukuwa na mchawi yoyote nchini Tanzania ambae alikuwa na uwezo kama wa kwake.
Chanzo cha Bibi huyu kuitwa Bibi Fisi ni kwamba alikuwa ana kibanda ( nyumba ) yake katika eneo la Bugando jijini Mwanza.. Kibanda cha bibi huyu kilikuwa pembeni ya barabara.
Serikali ya Mwl Julius Kambarage Nyerere ilitaka kupanua barabara na moja kati ya nyumba ambazo zilitakiwa kubomolewa ni pamoja na nyumba yake.
Bibi huyu aligoma kuondoka katika kibanda chake kupisha upanuzi wa barabara..
Watu wa Halmashauri ya mji wa Mwanza hawakuwa na jinsi zaidi ya kufanya maamuzi ya kuvunja nyumba yake ..
Licha ya sifa za kutisha za bibi huyu lakini watu wa Halmashauri ya mji wa Mwanza walifikia uamuzi mgumu wa kuvunja nyumba ya bibi Fisi kwa kuhofia kuwajibishwa na mwalimu ( Viongozi wa Halmashauri mnaanzaje kuwambia Mwalimu kwamba kuna bibi kizee amegoma nyumba yake kuvunjwa na sisi tumeshindwa kutumia nguvu kwa sababu tunaogopa anaweza kuturoga )
Hakuna dereva aliye kuwa tayari kuendesha Grader ili kuvunja nyumba ya Bibi Fisi..Kila dereva aliyefuatwa aligoma ..
Watu wa Halmashauri wakafikia muafaka wawatumie wafungwa walio kuwa wamehukumiwa kunyongwa ambao walikuwa wanasubiria adhabu yao katika gereza la Butimba lililopo kusini mwa jiji la Mwanza..
SIKU YA KUVUNJA NYUMBA YA BIBI FISI
Inasimuliwa kwamba madereva walipoenda kuvunja nyumba ya bibi huyo nyumba ilitoweka na kitokea Fisi wengi sana katika eneo hilo hali iliyozua taharuki kubwa kwa wakazi wa maeneo ya Bugando,Bugarika,Igogo na mji wote wa Mwanza kwa ujumla.
Wengine wanasema Bibi huyu aliitwa Bibi Fisi kwa sababu alikuwa anafuga Fisi kwa ajili ya shughuli zake za ulozi na uchawi.
Tukio hili la bibi Fisi liliwatisha sana viongozi wa mji wa Mwanza ambao waliamua kumtaarifu Mwalimu.
Inasemekana Mwalimu alienda hadi nyumbani Kwa bibi huyu kwa ajili ya kuongea NAE na kumsihi akubali kupisha upanuzi wa barabara katika eneo hilo na kwamba serikali itamjengea nyumba nyingine nzuri katika eneo ambalo bibi huyo atalichagua mwenyewe lakini bibi Fisi alikataa kata kata kwa madai kwamba lile ni eneo ambalo amerithi Kwa mabibi na mababu zake na kwamba makaburi ya mabibi na mababu zake wote yapo katika eneo hilo na kwamba hawezi kuwakosea heshima wazee wake kwa kuliacha eneo hilo..
Mwalimu Nyerere kwa kuwa aliheshimu sana imani za watu hakuwa na jinsi zaidi ya kukubaliana na bibi huyo..
Hatimae upanuzi wa barabara ukampisha yeye na sio yeye kupisha upanuzi wa barabara.
Bibi huyu inasemekana alikuwa na utajiri mkubwa sana ambao hata hivyo ulikuwa hauonekani kwa macho ya nyama .
Chanzo cha utajiri wake inasemekana ilikuwa ni misukule.
Bibi huyu alikuwa anawauza misukule wake kwa wafanyabiashara wakubwa wa kanda ya ziwa na Tanzania kwa ujumla.
Wateja wake wakuu inasemekana walikuwa wafanya biashara wa kihindi.
Watu wengi waliogopa kupita peke yao karibu na nyumbani kwa bibi huyu na ilikuwa ikifika usiku basi watu walikuwa hawapiti kabisa katika eneo hilo..
Inasemekana pia ilikuwa ukiingia kwenye kibanda chake unakutana na mjengo mmoja wa hatari sana .
Karibu na nyumbani kwake bibi huyu alikuwa na shamba la kama robo heka ambalo lilikuwa na mazao karibu wakati wote wa mwaka..
Bibi huyu alikuwa na maajabu sana. Mwaka 1983 kuna watoto walikuwa wakisoma katika shule ya msingi Mlimani ambayo haipo mbali sana na mahali ilipo nyumba ya bibi Fisi
..Watoto hao wa shule wakati wakati wanarudi makwao walipita nyumbani kwa bibi Fisi na kwenda kuiba maembe kwenye mti wa maembe ulio kuwa katika shamba la bibi huyo.
Bibi huyo inasemekana aliwafuata watoto hao hadi nyumbani kwa Wazazi wao kila mmoja kwa wakati wake lakini ndani ya muda huo huo.
Alipofika majumbani kwa watoto hao aliwasemelezea kwa wazazi wao kwa kuwataja majina yao kamili.
.Watoto hao waliishi katika eneo la Igogo..
Wazazi walishangaa sana bibi huyo amejuaje majina ya watoto wao na amefikaje nyumbani kwao kwa sababu watoto wakati wanachapwa bakora walisema bibi aliwakuta wakiwa wanachuma maembe na walipomuona walikimbia mbio.
KIFO CHAKE : Bibi Fisi alikufa kwa kuuwawa na watu wanao sadikiwa kuwa majambazi mwaka 2000 akiwa na umri unaokadiriwa 100 na zaidi..On the fateful day MWILI usio kuwa na uhai ( Lifeless body )wa bibi Fisi ulikutwa chumbani kwake ukiwa umekatwakatwa mapanga
hahahaaNgoja nitoke nje ya nyumba kwanza ndio nisome huu uzi!.
Wana walimchoka hiyo..alikuwa anawalimisha saana karobo heka kake...ha ha haWalienda kuua tu
Duh ilikuwa hatari sanaSiku moja tulikuwa tunatoka kutafuta mchanga wa kujengea, njia tuliyokuwa tunatokea ni njia inayotokea barabara la kwenda bugando hosp. tulipofika kwenye mji wake tolori tuliokuwa tunatumia likapinduka kwenye shamba lake, ikabidi wazee tuanze kuchota mchanga wetu uliomwagika mara bibi akatoka ndani mwake na kuanza kutugombeza kwamba tunaachukuwa mchanga wake!! wazee hatukujali kwani tayari alikuwa ameshatolewa nguvu zake za kichawi ila mwisho alitutishia kwamba atachukuwa nyayo zetu 😁😁😁😁 lakini hakukutokea kitu chochote, nilikuwa naishi jirani na eneo hilo...
hahaaaaJf kuna miwatu miongo mno. Hafu ipo inayopenda mambo ya kishirikina sana, niliacha kusimulia habar za hivi baada ya watu kunisumbua niwatafutie mganga wa pesa za ndagu. Niksachana na mambo haya. Nadhani mkuu pm yako imefurika wapige tu
Siku ambayo mtaalam alikuja kumtolea nguvu zake za kishirikina nilikuwepo mzee, ilikuwa mida ya mchana jamaa alikuwa anaeskotiwa na wajeda wawili, watu walikuwa kibao tunafuata msafara, kufika pale kwenye nyumba yake bibi fisi alikuwa shambani kwake. Yule mganga alikuwa na kioo kwenye paji la uso, alivyomuona tu bibi jamaa alizimia kama dakika tano hivi na wakati huo bibi nae akawa amebakia kasimama anatetemeka! ilikuwa bonge la picha!!. Basi jamaa baada ya kuzinduka akaingia ndani ya nyumba ya bibi na kutoka na vitu vya hatari sana vikiwemo viungo vya binaadamu hasa sehemu za siri!! Jamaa akaendelea kufukua huku na kule na kupata vitu vingi ambavyo bibi fisi alikuwa amevifukia, baada ya kumaliza zoezi mtaalam akavipiga kiberiti vitu vyote na hapo ndio ukawa mwisho wa bibi fisi kuwa na nguvu za kichawi na hata wakati anauawa kwa mapanga ndani mwake na watu wasiojulikana alikuwa hana nguvu za uchawi...Duh ilikuwa hatari sana
Huyo Bibi ni kweli alikuwa na hayo maajabu yake, sitakaa nisahau tukio alilotufanyia, mimi na jamaa yangu enzi hizo tunasoma Lake Sec. tukapita eneo hilo, Bibi akatuomba kumsaidia kupasua kuni, alikuwa anapasua kuni nje ya kibanda chake, kwa kuwa tulishaambiwa mambo yake, tukasimama kweli tukamsikiliza, nikataka kwenda jamaa yangu akinishika mkono na kunivuta, tukaondoka, lakini cha ajabu tulishashtuka tumemaliza kupasua ule mti, tunamemkabidhi Bibi shoka na tunaondoka eneo la tukio !!! sasa hivi tumekwa watu wazima , kila tukikutana au kuongea kwa simu ni lazima tukymbushane tukio lile.Kuanzia katikati ya miaka ya sitini hadi mwishoni mwa miaka ya tisini katika mji Mwanza aliishi kigagula mmoja ambae alijulikana kwa jina la Bibi Fisi.
Bibi Fisi alikuwa mchawi hatari sana ambae sifa zake zilitikisa mkoa wote wa Mwanza na.mikoa jirani ya kanda ya ziwa..
Kigagula huyu inasemekana alikuwa na nguvu kubwa sana za kichawi na inasemekana kuwa alikuwa mmoja kati ya wachawi waliokuwa katika ranks za juu kabisa katika ufalme wa kichawi wenye makao yake makuu katika mkoa wa Shinyanga ( now Bariadi) katika eneo ambalo linajulikana kama Gamboshi ( ile isiyo onekana )
Pia inadaiwa kwa nguvu na uwezo wake mkubwa katika fani ya uchawi hakukuwa na mchawi yoyote nchini Tanzania ambae alikuwa na uwezo kama wa kwake.
Chanzo cha Bibi huyu kuitwa Bibi Fisi ni kwamba alikuwa ana kibanda ( nyumba ) yake katika eneo la Bugando jijini Mwanza.. Kibanda cha bibi huyu kilikuwa pembeni ya barabara.
Serikali ya Mwl Julius Kambarage Nyerere ilitaka kupanua barabara na moja kati ya nyumba ambazo zilitakiwa kubomolewa ni pamoja na nyumba yake.
Bibi huyu aligoma kuondoka katika kibanda chake kupisha upanuzi wa barabara..
Watu wa Halmashauri ya mji wa Mwanza hawakuwa na jinsi zaidi ya kufanya maamuzi ya kuvunja nyumba yake ..
Licha ya sifa za kutisha za bibi huyu lakini watu wa Halmashauri ya mji wa Mwanza walifikia uamuzi mgumu wa kuvunja nyumba ya bibi Fisi kwa kuhofia kuwajibishwa na mwalimu ( Viongozi wa Halmashauri mnaanzaje kuwambia Mwalimu kwamba kuna bibi kizee amegoma nyumba yake kuvunjwa na sisi tumeshindwa kutumia nguvu kwa sababu tunaogopa anaweza kuturoga )
Hakuna dereva aliye kuwa tayari kuendesha Grader ili kuvunja nyumba ya Bibi Fisi..Kila dereva aliyefuatwa aligoma ..
Watu wa Halmashauri wakafikia muafaka wawatumie wafungwa walio kuwa wamehukumiwa kunyongwa ambao walikuwa wanasubiria adhabu yao katika gereza la Butimba lililopo kusini mwa jiji la Mwanza..
SIKU YA KUVUNJA NYUMBA YA BIBI FISI
Inasimuliwa kwamba madereva walipoenda kuvunja nyumba ya bibi huyo nyumba ilitoweka na kitokea Fisi wengi sana katika eneo hilo hali iliyozua taharuki kubwa kwa wakazi wa maeneo ya Bugando,Bugarika,Igogo na mji wote wa Mwanza kwa ujumla.
Wengine wanasema Bibi huyu aliitwa Bibi Fisi kwa sababu alikuwa anafuga Fisi kwa ajili ya shughuli zake za ulozi na uchawi.
Tukio hili la bibi Fisi liliwatisha sana viongozi wa mji wa Mwanza ambao waliamua kumtaarifu Mwalimu.
Inasemekana Mwalimu alienda hadi nyumbani Kwa bibi huyu kwa ajili ya kuongea NAE na kumsihi akubali kupisha upanuzi wa barabara katika eneo hilo na kwamba serikali itamjengea nyumba nyingine nzuri katika eneo ambalo bibi huyo atalichagua mwenyewe lakini bibi Fisi alikataa kata kata kwa madai kwamba lile ni eneo ambalo amerithi Kwa mabibi na mababu zake na kwamba makaburi ya mabibi na mababu zake wote yapo katika eneo hilo na kwamba hawezi kuwakosea heshima wazee wake kwa kuliacha eneo hilo..
Mwalimu Nyerere kwa kuwa aliheshimu sana imani za watu hakuwa na jinsi zaidi ya kukubaliana na bibi huyo..
Hatimae upanuzi wa barabara ukampisha yeye na sio yeye kupisha upanuzi wa barabara.
Bibi huyu inasemekana alikuwa na utajiri mkubwa sana ambao hata hivyo ulikuwa hauonekani kwa macho ya nyama .
Chanzo cha utajiri wake inasemekana ilikuwa ni misukule.
Bibi huyu alikuwa anawauza misukule wake kwa wafanyabiashara wakubwa wa kanda ya ziwa na Tanzania kwa ujumla.
Wateja wake wakuu inasemekana walikuwa wafanya biashara wa kihindi.
Watu wengi waliogopa kupita peke yao karibu na nyumbani kwa bibi huyu na ilikuwa ikifika usiku basi watu walikuwa hawapiti kabisa katika eneo hilo..
Inasemekana pia ilikuwa ukiingia kwenye kibanda chake unakutana na mjengo mmoja wa hatari sana .
Karibu na nyumbani kwake bibi huyu alikuwa na shamba la kama robo heka ambalo lilikuwa na mazao karibu wakati wote wa mwaka..
Bibi huyu alikuwa na maajabu sana. Mwaka 1983 kuna watoto walikuwa wakisoma katika shule ya msingi Mlimani ambayo haipo mbali sana na mahali ilipo nyumba ya bibi Fisi
..Watoto hao wa shule wakati wakati wanarudi makwao walipita nyumbani kwa bibi Fisi na kwenda kuiba maembe kwenye mti wa maembe ulio kuwa katika shamba la bibi huyo.
Bibi huyo inasemekana aliwafuata watoto hao hadi nyumbani kwa Wazazi wao kila mmoja kwa wakati wake lakini ndani ya muda huo huo.
Alipofika majumbani kwa watoto hao aliwasemelezea kwa wazazi wao kwa kuwataja majina yao kamili.
.Watoto hao waliishi katika eneo la Igogo..
Wazazi walishangaa sana bibi huyo amejuaje majina ya watoto wao na amefikaje nyumbani kwao kwa sababu watoto wakati wanachapwa bakora walisema bibi aliwakuta wakiwa wanachuma maembe na walipomuona walikimbia mbio.
KIFO CHAKE : Bibi Fisi alikufa kwa kuuwawa na watu wanao sadikiwa kuwa majambazi mwaka 2000 akiwa na umri unaokadiriwa 100 na zaidi..On the fateful day MWILI usio kuwa na uhai ( Lifeless body )wa bibi Fisi ulikutwa chumbani kwake ukiwa umekatwakatwa mapanga
Nakumbuka mkuu, ila huo utafiti haujakudrag kweli nawe ukawa mchawi? Am kidding[emoji12]Niliwahi kuweka Uzi hapa kuwa naenda kufanya utafiti kuhusu uchawi..huu ndio mrejesho sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mzee una mastori ya kilozi kweli kweli [emoji2][emoji2]
hii stori ni ya kweli kabisa jamaa hajaongeza hata kidogo neno la uongoHizi stori unatunga ama unasimuliwa,..ama na wewe ni shuhuda..?
Mbona ni za wachawi tu?
NAWAZA TU[emoji56]
Du,aisee![emoji15]Huyo Bibi ni kweli alikuwa na hayo maajabu yake, sitakaa nisahau tukio alilotufanyia, mimi na jamaa yangu enzi hizo tunasoma Lake Sec. tukapita eneo hilo, Bibi akatuomba kumsaidia kupasua kuni, alikuwa anapasua kuni nje ya kibanda chake, kwa kuwa tulishaambiwa mambo yake, tukasimama kweli tukamsikiliza, nikataka kwenda jamaa yangu akinishika mkono na kunivuta, tukaondoka, lakini cha ajabu tulishashtuka tumemaliza kupasua ule mti, tunamemkabidhi Bibi shoka na tunaondoka eneo la tukio !!! sasa hivi tumekwa watu wazima , kila tukikutana au kuongea kwa simu ni lazima tukymbushane tukio lile.