Serikali yazitaka NGO's zote nchini kuwasilisha kwa Msajili taarifa za vyanzo vya Mapato

Serikali imetoa siku 30 kwa mashirika yote yasiyo ya kiserikali kuwasilisha kwa msajili wa NGOs taarifa zake za fedha,vyanzo vyake vya fedha pamoja na miradi ilinayotekelezwa na inayotarajiwa kutekelezwa.

Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee Na watoto Dk Faustine Ndugulile ametoa taarifa hiyo jijini Dodoma leo, ambapo amesema mashirika ambayo hayatafanya hivyo yatafutiwa usajili.

Dk Ndugulile amesema kumekuwa na tatizo la NGOs kufanya shuguli ambazo sio kipaumbele cha Taifa na wajibu wa kisheria, hivyo baada ya zoezi hilo kukamilika mashirika hayo yatatakiwa kutoa Taarifa zao za fedha pamoja na vyanzo vyake kwa serikali kila mwaka.
Ndivyo inavyofanyika siku zote na taarifa wanazo. Ila wakipenda wafute pia na Ngo zote Kama inavyoelekea kwenye vya siasa.
Madikteta wanapozidi kuwa waoga
-Gadafi alikuwa halali nyumba moja usiku mzima. Walinzi wake wote walikuwa wa kike, na hawajaolewa.
-Iddi Amin Dada aliuwa kwa risasi, mwanae aliyekuwa anachezea bastola toy, baada ya kumwelekezea.
-Saddam Hussein aliamrisha kuuwawa mume wa bintiye na kumuweka bintiye na wajukuu kizuizini nyumbani, iliposikika wangependa kuhamia Syria.
 
Kuna taarifa nimeiona Leo sikumbuki wapi,inasema serikali imefungia NGOs zote kwenye nchi hiyo kwa sababu zimeshindwa kufuata taratibu za nchi hiyo...Sasa nimeona hii taarifa nikaanza husianisha na ile taarifa
Tunachungulia ile njia ya miaka ya haya magari yalipokuwa yanagombewa mitaa ya posta
FB_IMG_1537109267619.jpeg
 
kwanza serikali imechelewa kufanya ufuatiliaji huo. hizi NGO ziko kwa ajili ya manufaa ya umma. MAANA wanapata misaada na michango toka kwa wafadhili baada ya kutoa mipango ya jinsi watakavyo wasaidia kundi fulani la JAMII katika kupambana au kutatua changamoto zao. hivyo ni vyema na haki wakawa na uwazi katika mapato na matumizi YAO. isije ikawa wanatumia michango ambayo waliiomba kwa kusaidia watoto yatima, badala yake wakatumia tofauti. ni wakati sasa SERIKALI iwe na miongozo ya namna GANI bora ya kusimamia hilo.
Ujamaa na kujitegemea
 
NGO's & CBO's are non governmental and non profit organizations. Kwa nn wazifuatilie mapato wakati hazifanyi biashara? Waanze na vyama vya wafanyakazi ambavyo viko chini ya TUCTA maana ndo vinaumiza watumishi kwa makato ya mishahara. Kuna wale wanaitwa CWT wanaumiza sana walimu na mapato yao hayajulikani yanaenda wapi.
 
Back
Top Bottom