Sasa picha umeona pekee yako fesibuku. Unakuja huku JF kujadili, kwa nini msimalizane huko huko? By the way picha yenye we hatuioni...sasa tunajadili nini?
Mkuu yeriko umri wako hauendani na mambo haya. Leo Kutwa nzima unazusha mambo...hivi una taka nini? Stunt?
Ulishawahi kuzusha sheikh Ponda kauwawa Morogoro, unazusha mwana sheria wa Zanzibar aliyetimuliwa na shein kaokotwa ameuwawa....hukuishia hapo...
Hivi tatizo Lako Hua ni nini...
Mkuu ni kishua sema toka MWAKA juzi kua Ben wa saanane ni kibaraka wa Membe. Na Yericko Nyerere huwa anataka kujiunga mitandao wa lowasa ingawa bado hajafanikisha
NDUGU ZANGU AKINA MAKENE, SAA NANE HIYO NDIYO KAWAIDA YA MASHINDANO/ELECTION, IT DOES NOT MEAN YOU ARE NOT GOOD ENOUGH IT MEANS YOU ARE BEING PREPARED TO ENDURE MORE RESPONSIBILITY AND TO BE TOLERANT. I SINCERELY WISH YOU ALL THE BEST NA MSIVUNJIKE NGUVU FANYENI KAZI KWA NIA SAFI NA INSHAALLAH...
Thanks for telling us Ben Saanane, kilewo na wewe U r not EXCEPTIONAL! Sasa kama mlijua ninyi ni mediocre kwa nini mlijitokeza kutaka kuwa wajumbe wa kamati kuu? Sasa mlitaka mkiue chama, sababu mlijua kabisa uwezo wenu mdogo n u r not EXCEPTIONAL! What if wewe na mediocre mwenzio ben...
Umemsoma ben alivyoeleza sababu ya kuenguliwa? "Tuhuma za usaliti" hapa hakuna taratibu aliyovunja hata mmoja, tofauti na alipo gombea BAVICHA huku umri umempita hii ndo ilikua kuvunja kanuni... Awamu hii ametolewa kwa issue za kimaadili, kwamba msaliti, kwamba hawa muelewi yupo upande gani...
Mke wa kilewo alimpinga mbowe na kusema hafai kua kiongozi wa umma wakati anashindwa kumheshimu mkewe wa ndoa.
Refers to Dubai,Mbowe na Joyce Mukya scandal.
Sasa kilewo ana suffer consequence za mkewe. Chezea mbowe wewe
mkuu akina ben na kilewo hawakushindwa kwa ballot box, ingekuwa hivyo issue ingekua straight tu kwamba wapiga kura hawakuzielewa sera zao. Ila ni kua hawa vijana WAMETOLEWA kabla ya majina kufikishwa kwa wajumbe kupigiwa kura, na sababu ni kama alivo eleza ben mwenyewe " USALITI"
Kwa maana...
Ben Saanane huwa tuna mwambia kila siku HUTAKAA KUAMINIKA HATA SIKU MMOJA! ona sasa mwenyewe amekiri katika sababu za kuondolewa ni USALITI... (no.2 nina tuhuma za usaliti)
Sasa leo mbowe ni wa kumuona ben msaliti? Leo slaa wa kulikata jina la ben baraza kuu kwa usaliti? Kwa hiyo Ben na zitto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.