Ben Saanane, Kilewo na Tumaini Makene waenguliwa ujumbe Kamati Kuu

Status
Not open for further replies.
Kwenye hiyo no. 4 kama uligombea uenyekiti bavicha mara mbili hukufanikiwa, unaposema utagombea NAFASI NZITO ZAIDI (kuliko hizi za bavicha na kamati kuu) Je una maanisha unakitaka cheo cha Mwenyekiti wa kudumu Mbowe?

Haaaa

Mulize chacha Wangwe,zitto na Mbarouk...

Swali zuri sana na hapo ndipo movie itaanza upya ikiwa part 2

Nafasi nzito ipi??
elimination process ita take place soon
 
Huyo Shetani Ben Saanane nimemuona hapa Calabash na wenzake ndani ya baa ya wachagga wenzake.Huyu jamaa labda wakuu ndani ya chama wamemshtukia ni Zitto Mwingine ajaye maana huyu jamaa ni mroho wa madaraka na mbishi kama rafiki yake wa Zamani Zitto.Mfukuzeni kabisa kabla hajaleta athari kwa chama lenu hilo la kigaidi

mkuu hilo nalo la kuzingatia
lakini kingine mkuu amesema anataka nafasi NZITO
 
Last edited by a moderator:
[QUO byTE=masai dada;10592123]mkuu hilo nalo la kuzingatia
lakini kingine mkuu amesema anataka nafasi NZITO[/QUOTE]hawezi Hugo nisisimizi
 
hehehehehehehe!!!.... yericko nyerere vipi.... ama bado yupo busy kutafuta umaarufu kwa mgongo wa ZZK..

CHAGA DEVELOPMENT MANIFESTO - CHADEMA..

Yericko Nyerere yupo mkuu ila ndo hivyo vijana wamekatishwa tamaa na maboss wao. Aligombea mwaka huu ka cheo flan hivi

Lakini kabla ya kugombea aliibuka na uzi flani hapa jf akidai dr. Slaa umaarufu umeshuka, na mbowe apumzike awape wengine kijiti. Siku chache baadae akagombea cheo flani katani kwao kigamboni, kura hazitosha.

Akaibuka juzi kati kumsapoti Nanyaro wote wakashindwa sasa yupo tu na shughuli zake za kubeba zege, yaan fundi mchundo.
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh

Wachaga wana visa saaaanaaa.

HIYO INAITWA KWAMBA ASIEKUWA MCHAGA NA ASILEEE.

Hivi wao mapimbi kama Makene..Saa nane na Kilewo wanadhani Ayatollah mtei na shemeji yake mbowe ni wajinga eeeh??

Wao waanzishe Saccoss kisha Waje Intruders from nowhere kujiingiza ingiza ndan ya Saccoss yao???

Thubutuuu.

Watasaga Lami hadi wakome zao.

Chadema ina wenyeweee.

Wewe THE BIG SHOW ni me ama ni ke? Naomba kujua jinsia yako kwanza then tuendelee. Samahani lakini.
 
Last edited by a moderator:
Yericko Nyerere yupo mkuu ila ndo hivyo vijana wamekatishwa tamaa na maboss wao. Aligombea mwaka huu ka cheo flan hivi

Lakini kabla ya kugombea aliibuka na uzi flani hapa jf akidai dr. Slaa umaarufu umeshuka, na mbowe apumzike awape wengine kijiti. Siku chache baadae akagombea cheo flani katani kwao kigamboni, kura hazitosha.

Akaibuka juzi kati kumsapoti Nanyaro wote wakashindwa sasa yupo tu na shughuli zake za kubeba zege, yaan fundi mchundo.

Teh teh teh.

Yericko ndugu yangu nae ana vituko sana...

Sasa mbeba zege kama yeye chadema ataaminika vipi.??

Daah.

Anatia huruma sana yule jamaa.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha.....Mzee wa Sumu,na bado Mambo ndo yanaanza......utaishia kujulikana JF tu!
Ben Saanane huwa tuna mwambia kila siku HUTAKAA KUAMINIKA HATA SIKU MMOJA! ona sasa mwenyewe amekiri katika sababu za kuondolewa ni USALITI... (no.2 nina tuhuma za usaliti)

Sasa leo mbowe ni wa kumuona ben msaliti? Leo slaa wa kulikata jina la ben baraza kuu kwa usaliti? Kwa hiyo Ben na zitto wana status quo moja pale chadema....haaahaa!

Duh, ukiya shangaa ya Slaa utayaona ya Mbowe..ben amka usingizini mkuu
 
Last edited by a moderator:
Yericko Nyerere yupo mkuu ila ndo hivyo vijana wamekatishwa tamaa na maboss wao. Aligombea mwaka huu ka cheo flan hivi

Lakini kabla ya kugombea aliibuka na uzi flani hapa jf akidai dr. Slaa umaarufu umeshuka, na mbowe apumzike awape wengine kijiti. Siku chache baadae akagombea cheo flani katani kwao kigamboni, kura hazitosha.

Akaibuka juzi kati kumsapoti Nanyaro wote wakashindwa sasa yupo tu na shughuli zake za kubeba zege, yaan fundi mchundo.

Hahaha! sasa kule kitaani kura hazikutosha ... bado ana ndoto za kupata nafasi nyeti dani ya CDM...
 
Mimi kidogo napata shida sana kuwaelewa GT wa Jukwaa hili au pengine ni ujinga tu unatusumbua nadhani.

Kwani ilikuwa ni lazima Ben Sanane au Kilewao au Tumaini Makene? Kwani ndiyo walikuwa wagombea pekee kiasi ambacho ilikuwa ni lazima tu wapite na sasa wameshindwa hawana sifa na nafasi zimebaki tupu?

Kwa nini tusiwape pongezi walioshinda kwa sababu likely ndiyo waliostahili na nafasi haziwezi kuwa zaidi ya idadi ya wagombea?

Mimi nawapongeza CHADEMA kwa sababu kama inatokea tuliodhani kuwa watashika nyadhifa katika chama kwa sababu tu tunawafahamu hapa au kule na matokeo yake wanashinda wengine tu, basi ni ishara kuwa Chama kinakua na kuimarika tofauti na inavyodhaniwa na wapinzani wao!!

Hongereni pia mlioshindwa na kukubali matokeo (japo mengine yanakuzwa tu humu kwani Tumaini Makene hakugombea) kwa sababu ktk kushindana lazima atokee wa kushinda na aliyeshindwa hata kama ingekuwa mgombea ni mmoja tu na kutakiwa kuandika HAPANA au NDIYO!!
 
WanaJF,

Ni hatari sana kuendekeza uzushi

1:Jina langu halijapitishwa sawa na wagombea wengine na Mwenyekiti wa kikao cha Kamati Kuu na Baraza Kuu amefafanua

2:Sina tuhuma za usaliti

3:Makene hakugombea

4:Safari inaendelea....Next time Mungu akipenda nitajutokeza tena kwa kasi na nafasi nyingine nzito zaidi

5:Asanteni wote mlionipigia kampeni.Ushindi ulikua dhahiri

BEN,
Unakumbuka juzi uzi wangu nilikuambia nini? usipende kujidanganya kuwa huna tuhuma za usaliti. unazo. nikukumbushe kilichopelekewa ukatolewa uchaguzi wa bavicha 2011.
usisahau shughuli zako na masalia,walio chadema na waliohama, pinduo mbowe group, akaunti ya tuntemeke, na kutukana viongozi wa chama.
ulipewa adhabu na kupokonywa vyeo bavicha. unamdanganya nani? nilikwambia juzi kuwa labda upate ujumbe wa kamati kuu ya CHAPUTO.(Chama cha wapiga punyeto tanzania)
 
unajaza huu uzi huna kazi nyingine? siuongee na nape upewe ata ukuu wa idara au wilaya uachane na cdm isiyokuwa na vyeo vya kugawa kama ccm?

mabandiko yako yatakuhukumu siku moja hapa hapa

Teh teh teh.

Yericko ndugu yangu nae ana vituko sana...

Sasa mbeba zege kama yeye chadema ataaminika vipi.??

Daah.

Anatia huruma sana yule jamaa.
 
Ben Saanane huwa tuna mwambia kila siku HUTAKAA KUAMINIKA HATA SIKU MMOJA! ona sasa mwenyewe amekiri katika sababu za kuondolewa ni USALITI... (no.2 nina tuhuma za usaliti)

Sasa leo mbowe ni wa kumuona ben msaliti? Leo slaa wa kulikata jina la ben baraza kuu kwa usaliti? Kwa hiyo Ben na zitto wana status quo moja pale chadema....haaahaa!

Duh, ukiya shangaa ya Slaa utayaona ya Mbowe..ben amka usingizini mkuu

Duu nimeshangazwa na kitendo cha Ben kuitwa msaliti..... daaa ina maana inawezekana hata Kilewo na Manekene wameonekana ni wasaliti!

Hii timu ndio ilikuwa inashabikia kile kipindi cha Zitto wakiongozwa na Yerocko nyerere!

Kweli malipo ni hapa hapa!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom