Habari ya muda huu.
Nataka tukumbushane kidogo, maana tumejisahau, kila ndugu msomaji hapa kwa namna moja au nyingine atakua anamiliki kimoja wapo Kati ya flashi au kompyuta, na kama una miliki vyote kwa pamoja hii Mada haikuhusu.
Flashi inatakiwa kutunzwa na kulindwa, flashi ni fahari kwa...