malisoka
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 1,860
- 2,639
Ili kuondoa Msg zozote zinazokuja moja kwa moja kwenye simu yako(automatic advertise msg) fanya hivi:
Piga *#61# Kujua kama upo connected au forwarded wa hizo msg na KAMA ukikuta Forwarded ujue kuna watu wanasikiliza na kufuatilia mawasiliano yako ikiwa pamoja na hizp msg za tatu mzuka, Biko, bet nk.
Ili kujiondoa Piga ##21#.
Angalizo: hizo namba nimezipata humu humu kwenye mitandao sijui zaidi ya hapo. LAKINI zina fanya kazi vizuri sana sijui side effects yake LAKINI nilikuwa napokea msg zaidi ya 10 kila siku za 7msuka, boko, betgiaaa, tatu mzuka, nk na zingine hata sijawahi hata kucheza michezo hiyo zilikuwa zinakuja na simu yangu ilikuwa kama jalala na hata msg nilikuwa siziangalii kwa maana nilijua ni wale wale wa biko na tatu mzuka.
Lakini leo siku ya pili sijapokea msg yeyote ya tatu mzuka,biko,bet,nk.
Its work, but I dont know its original.