Acheni ushamba wa mawazo.. uliambiwa wapi lazima kila taasisi makao yake makuu yawe Dodoma? Kwani Chadema ni government agency.
Waambieni na wale wachawi wenu wa gamboshi wahamishie makao yao Dodoma..
Kuna watu unasikia wanashangilia JKT kujenga ukuta na kuokoa hela, haya ndio yanaathiri uchumi. Ingepewa kampuni Binafsi je ni watu wangapi wangepata faida, hadi malaya wa ambiance angeweza mlipia ada mwanae!
Mnapokuwa na viongozi wenye fikra za kipigania uhuru (1960s thinking) wakati tupo kwenye dunia ya :global economy' ndio haya matokeo yake. Hawa kina kabudi, na Boss wake walipaswa wawe kwenye kamati ya ukombozi afrika ya mwalimu nyerere sio Wafanya maamuzi juu ya maisha ya watu katika karne hii...
Africa’s aviation sector has the potential to fuel economic growth.
The International Air Transport Association (IATA) projects that the continent will become one of the fastest growing aviation regions in the next 20 years, with an annual expansion of nearly five per cent.
Currently, there...
mabadiliko ya muziki huu ni midundo...na dube alikuwa akichanganya na midundo ya kiasili south afrika....kama zile walizokuwa wakifanya mahotela queens..hata leo 2pac angekuwepo, angefanya trap [emoji16]
bunny alipenda sana kusoften reggae yake. hata alipoachana na 'ndugu' yake bob, nyimbo zake nyingi zilikuwa na midundo 'mitam' zaidi...
sikiliza hii boderation.
ni mindset tu....ilikuwaga 'english figure' siku hizi bata mzinga.....kama ushirikina vile, wenye vipara walikuwa dili, wakawa albinism, siku hizi nyeti za watoto.......so ni upepo tu....zama zinabdilika.....zama zenu flat itafika tu...[emoji16]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.